Ukijibiwa ndio utafurahi, acha kuwa na mawazo mgandoo. Akili za hivi hata ukiambiwa Trump kashindwa urais utauliza lini you don't go with current issues.Vipi wangapi hapo kwenu wamekufa na corona?
Achana naye in Mwakyembe's voice Sijui mitihani ya Darasa la 7 alikuwa anafanyajeMimi kukosa ndugu aliekufa kwa Corona ndicho kipimo cha kuthibitisha kuwa Tanzania hakuna Corona?Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?
Mitihani ya Darasa la 4 ulikuwa unafanyaje?Wamekufa wangapi unaowajua wewe na ambao hawasemwi na hospitali
Huu unaitwa umalaya wa mawazo.Hakika, Ukweli ni kwamba Ugonjwa wa Corona Tanzania upo na Maambukizi ni makubwa
Aga Khan na Muhimbili wagonjwa Wapo wengi sana...
Tuambie, kwenye familia au ukoo wenu mmezika wangapi kwa sababu ya corona?Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
We mbona hujafa na nakuona kila uchao unaendelea na maisha yako bila kuchukua tahadhari!..... Corona might be there but we but weuCorona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Fala sana wewe, yaani unazungumzia unathubutu kusema sijui agha khan mara muhimbili blabla mtupu. Chukulia mfano wa Ulaya hospitali Katiba zote zilijaa watu wakawa wanarudushwa majumbani, Itali waliwahi kupeleka wagonjwa Ujerumani baada ya kuzidiwa nchini meal.Hakika, Ukweli ni kwamba Ugonjwa wa Corona Tanzania upo na Maambukizi ni makubwa...
Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Marekani kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona...
Usiwe na wasi wasi; wamarekani wanakuja sana, wala Tangazo hizlo haliwazuii kabisa. Kuna wamarekani wengi wanataka kwenda kupumzikia Tanzania kuliko kwao.Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Marekani kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona...
Ndugu zako wapi wamekufa kwa corona?? Au daktari yupi amekufa kwa corona??Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Juzi hapa nilimuona Balozi wa Merikani chini Tanzania alikuwa anazungumza kwenye sherehe bila ya kuvaa face mask - what does that tell you?
Hivi inaingia akilini kwamba Serikali ya USA inajuwa vizuri kinachojiri nchini Tanzania kuliko Balozi wao!!
Watalii toka wapi watafikia Hotel ambayo mwenye hotel kutangulizwa mbele za haki na gonjwa la Covid-19? Wiki hii tumesherehekea siku ya UKIMWI lakini nchini kwetu kwa zaidi miaka 40, hakuna mtu aliyekufa kwa gonjwa hilo, watu wanakufa kwa saratani tu. Wacha wanafunzi watakaokaa Hostel ya Ngurdoto wafe kwa mafua kwenye 5-star Hotel!Hii habari inahalalisha Ngurdoto kugeuzwa hostel
Kwao America Corona haipo?libalozi Lao linafanya nini kwetu kama kuna Corona?shenzi kabisaJibu maswali yangu kwa ufasaha kaka!Nimekuuliza Tanzania corona ipo au haipo ukanijibu kuwa kwani nina ndugu aliekufa kwa Corona?, ndipo nikakuuliza:
Kwani katika nchi zenye Corona kila mtu ana ndugu aliekufa kwa Corona?
Jibu ulilonipa halina uhusiano wowote na swali langu hili
Ina maana we huoni ama?Aaaah....
Mabeberu wanatupa kila sifa mbaya.
Kwa nini lakini?
Selikali inaogopa kuhimiza unawaji mikono? Mbona unakuwa mjinga mkuu?Corona ipo Duniani kote Ndege zinakuja wageni wanakuja kinachowafanya Serikali kuongopa kuhimiza unawaji mikono kupaka vitakasa mikono ni nni? au Serikali inataka watu wafe kwa wingi ili wapate pesa za misaada kuzuia corona?
corona ipo ingawa hofu ya kusema imetawala ndiyo maana Serikali wanaona wamese haipo