Tanzania sasa hivi ni nchi ya mfano sana ndiyo maana wanapiga kelele hivyo. Zamani tukiwa shamba la bibi walikuwa hawasemi kitu; na hata nchi zote zinazotuzunguka kama Rwanda ambayo inaongozwa kimabavu sana hawaisemi kwa vile haina manufaa sana kwao. yeye anshiwndwa kuzungumzia jinsi wapiga kura wa Marekani wanavyobanwa wasipige kura anakuja kuongelea mambo ya Tanzania.Nchi ya mfano imekuwa kituko
Mnajisifu kwa uonezi sio hii ndio inatupa sababu za kupiga kura za hasira 2810 dhidi ya nduli.Nchi yetu itafanya uchaguzi na CCM tutashinda maana tumejipanga. Kama unategemea eti Seneta wa Marekani ndio amuingize Lissu madarakani na sio wananchi wa Tanzania, jiulize alivyoondolewa kwenye Ubunge ilikuwaje pamoja na kuzunguzuka dunia nzima akiloloma?
Hata sisi wenye mapenzi mema na nchi hii tutapiga kura za hasira dhidi ya mtu aliyetumwa na mabeberu. Na tutashinda!!Mnajisifu kwa uonezi sio hii ndio inatupa sababu za kupiga kura za hasira 2810 dhidi ya nduli.
Hata sisi wenye mapenzi mema na nchi hii tutapiga kura za hasira dhidi ya mtu aliyetumwa na mabeberu. Na TUTASHINDA!!!
Wewe sio mjinga. Wazazi wako ndio wajinga walioweza kuzaa toto kama wewe. Unamlinganisha Lissu aliyewatetea watu wawili watatu wa Nyamongo na Rais Magufuli anayewatetea na kuwajengea misingi imara Watanzania wote (na wazazi wako wajinga wakiwemo) ili wawe matajiri kama wengine duniani!!??????Lisu ameanza kutetea maskini wa nchi hii kabla hata wewe mjinga hujawa na akili nenda nyamongo kamuite lisu wakala wa mabeberu uone kama hawajakukata kichwa CCM ndio imeleta mikataba ya kifisadi toka tumepata Uhuru na Lissu ndio alikuwa anawatetea nyamongo Leo hii mnamuita waiala hamuoni hata aibu.
As a super power, they have a noble duty to speak for and defend the voiceless majority of Tanzanians that have been under the oppression of ccm dictatorship for 60 years nowTell them to mind their own business.
Embu kawaeleze hayo wazazi na ndugu wa Ben Sa8, Azory Gwanda, Akwilina... na wale mamia wa kwny viroba, pia na wahanga wa ubomoaji wa Kimara kinyume na amri ya mahakama kuu!!!Wewe sio mjinga. Wazazi wako ndio wajinga walioweza kuzaa toto kama wewe. Unamlinganisha Lissu aliyewatetea watu wawili watatu wa Nyamongo na Rais Magufuli anayewatetea na kuwajengea misingi imara Watanzania wote (na wazazi wako wajinga wakiwemo) ili wawe matajiri kama wengine duniani!!??????
He was just a mere mbunge hakuwa na maslahi ya urais,risasi zimemfanya ku build career ndio maana kapata jukwaa la kuongea na dunia sasa ana vie for post yenye maslahi na wazungu pia.Wazungu hawamuingizi mtu madarakani bali wanasapoti mtu wanaeweza fanya nae kazi,tutakaomuingiza madarakani ni sisi wapiga kura,ashinde au ashindwe kwa haki tofauti na hapo you will be in troubleNchi yetu itafanya uchaguzi na CCM tutashinda maana tumejipanga. Kama unategemea eti Seneta wa Marekani ndio amuingize Lissu madarakani na sio wananchi wa Tanzania, jiulize alivyoondolewa kwenye Ubunge ilikuwaje pamoja na kuzunguzuka dunia nzima akiloloma?
Tell them to mind their own business.
Neno mabeberu halina maana yoyote zaidi ya kutia watu hofu...Hata sisi wenye mapenzi mema na nchi hii tutapiga kura za hasira dhidi ya mtu aliyetumwa na mabeberu. Na TUTASHINDA!!!
Bogus chargeson bogus charges raises