Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Wanaanza taratibu halafu wanawapa silaha watu na kuanza kuingiza watu wao wa kuwafunza namna ya kulipua
Hawa ni wabaya kuliko tunavyowafikiria
Wapo wanaofurahia na inawezekana wapo wanaowasha moto huu bila kujua kuwa kuzima kwake ni miaka 30

Wachunguzwe wanafiki hao wanaolianzisha la sivyo itakuwa too late
Huwa wanaanza na kuwachanganya watu kwanza halafu kikiwaka watasema tuliwatahadharisha
 
Hii taarifa ni nzito mno!

Halafu mbona kama ni organized crime ambayo tayari jamaa wana data nayo za kutosha? Ina maana Ngosha kawabana kiasi cha jamaa kuamua kutaka kutugeuza Syria mapema hivi..

Yaarabi!
 
Naona wanaanza kumfinya jiwe kwa style tofauti kabisa ambayo alikuwa hajaifikiria!

Baada ya mashambulio ya vituo vya polisi, misikiti na baadhi ya balozi za nchi mbalimbali kitakachofuata ni Zanzibar kudai kujitenga huku ukipewa saport toka magharibi.

Kusema ukweli mabeberu yakiamua mbuzi jike lazima ashike mimba.
Wewe acha mnazidi kujidhalilisha. Classification za security level zimefanywa so kwa Tanzania pekee. Kenya na uganda ziko group moja na Tanzania sasa singling ya nini.Watulie dawa iwaingie Makonda anawaumiza vichwa mataifa makubwa.Yote ni chuki ya kunyimwa wizi wa madini.Wangekuwa wanapenda demokrasia wangehakikisha uchaguzi kongo unafanyika lakini wao ndiyo wanahujumu.poor wafadhili
 
Hii taarifa ni nzito mno!

Halafu mbona kama ni organized crime ambayo tayari jamaa wana data nayo za kutosha? Ina maana Ngosha kawabana kiasi cha jamaa kuamua kutaka kutugeuza Syria mapema hivi..

Yaarabi!
Mnajidanganya
 
Wewe acha mnazidi kujidhalilisha. Classification za security level zimefanywa so kwa Tanzania pekee. Kenya na uganda ziko group moja na Tanzania sasa singling ya nini.Watulie dawa iwaingie Makonda anawaumiza vichwa mataifa makubwa.Yote ni chuki ya kunyimwa wizi wa madini.Wangekuwa wanapenda demokrasia wangehakikisha uchaguzi kongo unafanyika lakini wao ndiyo wanahujumu.poor wafadhili
Unakataa kwamba Tanzania hamna ugaidi?
 
Yani kwa akili yako ya kayumba unaamini Makonda anawanyima usingizi?
 
Wanaanza taratibu halafu wanawapa silaha watu na kuanza kuingiza watu wao wa kuwafunza namna ya kulipua
Hawa ni wabaya kuliko tunavyowafikiria
Wapo wanaofurahia na inawezekana wapo wanaowasha moto huu bila kujua kuwa kuzima kwake ni miaka 30

Wachunguzwe wanafiki hao wanaolianzisha la sivyo itakuwa too late
Huwa wanaanza na kuwachanganya watu kwanza halafu kikiwaka watasema tuliwatahadharisha
Watapoteza muda nchi iko imara. Mwisho wake watasalim amri kama walivyofanya kwa Kiduku. Mungu wa kweli anailinda Tanzania wahangaika lakini hawatashinda
 
Ningekuwa raisi WA tanzania huyo bzlozi WA marekani ningemuhita ili atoe ushaidi WA hayo ambayo yametolewa na nchi yake maana wanachafua taswira ya nchi yetu
 
Watekaji wa Mohamed Dewji 'MO' wafikishwa kwa Magufuli
22 Dec 2018
Jeshi la Polisi nchini limekabidhi silaha mbalimbali kwa Rais Magufuli zilizokamatwa katika operesheni zake zilizofanyika ndani ya nchi katika kukomesha uhalifu. Baadhi ya silaha hizo ni zile zilizotumika kumteka mfanyabiashara maarufu nchini Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la MO

Source : Daily News Digital

Sielewi
 
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.

Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya nchi.

Pia taarifa hio inadai kuwa ndai ya nchi wanaohisiwa kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hukamatwa na huenda wakalazimishwa kupimwa njia ya haja kubwa kwa nguvu na mamlaka husika.

Pia wamedai kuwa polisi ndani ya nchi hawana uwezo na miundombinu ya kupambana na uhalifu kwa hiyo wananchi wao wawe makini.

Katika suala la ugaidi wamedai kuwa mashambulizi huenda yakalenga vituo vya polisi, balozi za nchi mbali mbali, misikiti na maeneo mengine ambayo watu wa Magharibi(wazungu) wanakuwepo.

==========================================
The US State Department has issued a travelling warning to Americans wishing or travelling to Tanzania over crimes , terrorism and human rights violation.

The State Department has urged US citizens to "exercise increased caution" while in Tanzania due to concerns over crime, terrorism and official actions targeting people on the basis of their gender or sexual identity.

Violent crime is "common" in Tanzania, the State Department said on Wednesday, citing risks of assault, kidnapping, sexual assault and carjacking.

"Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania," the advisory also stated.
It added that lesbian, gay, bisexual, transgender and intersex (LGBTI) persons have been "arrested, targeted, harassed and/or charged with unrelated offences".

"Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations," the State Department noted.

The resources
Wednesday's advisory does not cite specific incidents of crime, terrorism or abuse of LGBTI persons.
In the case of violent crime, the State Department did say that "local police may lack the resources to respond effectively".

Regarding the threat of terrorism, the advisory warned that attacks may target "embassies, police stations, mosques and other places frequented by Westerners".

In the Tanzania section of its 2017 global survey of terrorism, the State Department pointed to a series of small-scale attacks in which "masked gunmen killed more than 30 police and local political officials in the Pwani region".

A terrorist group
The perpetrators did not claim allegiance to a terrorist group, last year's terrorism report on Tanzania added.
The December 26 travel advisory concerning LGBTI persons may have come partly in response to comments in October by Dar es Salaam Governor Paul Makonda.
"I have received reports that there are so many homosexuals in our city, and these homosexuals are advertising and selling their services on the internet," Mr Makonda said in a video posted to YouTube.
"Therefore, I am announcing this to every citizen of Dar es Salaam: If you know any gays ... report them to me.”

Special precautions
Tanzania is designated a "Level 2" travel destination on a 4-level scale established by the Trump administration last year.
Kenya and Uganda are also listed as Level 2 countries where the US advises more than normal precautions.
Somalia and South Sudan are both given Level 4 designations, which carry a "Do Not Travel" warning.
Sudan receives a Level 3 classification, whereby US citizens are urged to "Reconsider Travel."
Rwanda is among the countries said to require no special precautions on the part of travellers.

Source: The Citizen
Hawa wangese tu, Wangeenda moja kwa moja kwenye mada kwamba ni Gays tu ndio hawatakiwi. Vinginevyo wanafanya jambo ambalo hata kwao kupigwa risasi ni Zaidi ya hapa bongo. Bora uwe mkimbizi bongo kuliko USA.
 
Basi wapinzani hapa wanafurahiii, hahahaha. Acheni ujinga. Tz ni sehemu salama kabisa. Mungu wetu alishaamua kusimama na sisis, lazima tutoke hapa tulipo
 
Ulinganisha kwa matukio kwa mwaka jana peke yake Marekani wstu wameuawa wengi kuliko Tanzania Uganda na Kenya. Tena wahusika Domestic terrorism. Hawa watadanganya wafuasi wa UKAWA na hii habari
 
August 12, 2017 - One person is killed and 19 are injured when a speeding car slams into a throng of counterprotesters in Charlottesville, Virginia, where a "Unite the Right" rally of white nationalists and other far right organizations was coordinated to protest the city's decision to remove a statue of Confederate Gen. Robert E. Lee. James Alex Fields Jr., suspected of driving the deadly vehicle, is later indicted on 30 counts, including a hate crime resulting in death and bodily injury, and racially motivated violent interference with "federally protected activity" of using public streets. On September 14, 2017, President Donald Trump signs into law a congressional "joint resolution condemning the violence and domestic terrorist attack" that took place in Charlottesville.
October 31, 2017 - Eight people are killed and almost a dozen injured when a 29-year-old man in a rented pickup truck drives down a busy bicycle path near the World Trade Center in New York. The suspect has been identified as Sayfullo Habibullaevic Saipov. Authorities found a note near the truck used in the incident, claiming the attack was made in the name of ISIS, a senior law enforcement official says.
 
Hivi wale wa Rufiji tumewasahau au vipi? Walio angusha Askari wetu pale Rufiji. Jambo la msingi hili suala lifatiliwe isije wakarudi. Mimi sijaona kitu ambacho marekani ana interest na Tanzania.

Mambo walio yasema nchi yoyote duniani inapenda kuwatadharisha wananchi wake pindi wanapo ona Hali ya Hatari.
 
Back
Top Bottom