Utajibeba awamu hii. Wakati kesi ya Mbowe ikiendelea ulikuwa na furaha ya ajabu hata shetani hakukufikia. Alipoachiwa huru ukawa wa baridi hadi JF unakuja Kwa kuvizia. Na sisi tunasema mbele kwa mbele kanyaga vichwa vya watekaji na wauaji.Huyu mama Samia nimechoka kama shetani
Namwita dem sababu hana akili ms.enge tuu huyo.... Hao akina Jay z na Beyonce kwao kuna kitu kinaitwa Eminent Domain so wanafahamu nguvu ya serikali, akasome ajue ni nini asiendekeze ujinga wake hapa.Nakingereza chako cha maji taka..huyo sio demu amekuzidi kila kitu..
Unaona ni sifa binadamu na Watanzania wenzako kuwa kituko Cha kuangaliwa na watalii kuwa watu wanoishi Kama wanyama kwenye matembe ya nyasiWamasai Ni moja ya vivutio hapo Ngorongoro
Yuko sahihi
Kama movie ya Royal Tour , hakuleta matekeo yoyote Basi Samia hajui lolote kuhusu Utalii.
Na hii kitu ita chafua sekta ya utalii
Mbona Maria anakuza hili suala dogo liwe kubwa hivi kwani kuhama kupisha shughuli za kimaendeleo ni jambo la kushangaza kweli jamani.Shida akina Maria ni kutaka hela za wazungu bila kuangalia athari za mbele na huku ni kuhujumu uchumi wa Tanzania na hii kutaka kurudisha nyuma jitahada za serikali kwenye kujenga uchumi wake.
That lady is a true definition of devil
Ameshahongwa huyo na manyang'au ili asimame upande wao. Serikali iwapuuze manyang'au na mazuzu yao yote yaliopo mitandaoni. Hili ni swala la upepo ambalo litapita tu kama yalivyopita mengine.Wazungu wamefanikiwa sana kututawala , its shame kuona mtu kama Maria Sarungi anapita kwenye kurasa za watu maarufu wa mataifa ya magharibi kuchafua sifa njema ya Taifa hili ambalo Baba yake alihudumu nafasi nyeti ya Waziri wa Ulinzi.
Maria ameshindwa kujengea hoja mawazo yake sasa hana tofauti na wale watu pale Kivu wanaobaguana Wacongo na Wanyarwanda kwa karne hii anayofanya Maria Sarungi ni jambo la kusikitisha sana.
Mtu kama huyu akipewa nafasi ndiye atakayetuuza mapema kwa mabwana zake anaowasujudia.
Suala la kuondoa Masai Ngorongoro ni suala mtambuka kama ilivyokuwa sheria ya iuwaondoa wahamihaji pale London.
Na kweli nyie kondoo, ndio maana wakenya wanatumia ukondoo wenu kujinufaisha wao na familia zao. Ujinga wa baadhi ya watanzania humu mitandaoni ndio uchochoro muhimu wanaotumiaga wakenya katika harakati zao za kila siku.Maria ana damu ya kizungu, hana huu ukondoo tulionao sisi black people.
Sio kwa kueneza machukizo,kwani na yeye anataka mikopo ya masharti nafuu.Mkuu mbona haya serekali yetu inataka hela za hao hao wazungu? Au akizitaka Maria kwako inakuwa nongwa?
Na kweli nyie kondoo, ndio maana wakenya wanatumia ukondoo wenu kujinufaisha wao na familia zao. Ujinga wa baadhi ya watanzania humu mitandaoni ndio uchochoro muhimu wanaotumiaga wakenya katika harakati zao za kila siku.
Sio kwa kueneza machukizo,kwani na yeye anataka mikopo ya masharti nafuu.
Vyovyote iwavyo, lakini hela ya mzungu haikwepeki kwake yeye, au kwa hawa majizi ya kura.
Maria ana damu ya kizungu, hana huu ukondoo tulionao sisi black people.