Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sahihi kabisa, mzee amezikwa na hakuna kitakachobadilikaKwani hao watu wengine wangeenda kungeleta tofauti gani?
Watu mnapenda sana kujali vitu na mambo ya watu wengine pasipo wao kuonyesha kujali yale ambayo mnayajali nyinyi kuhusu wao.
Ni kama huwa mnasubiri kuona nani kafa halafu muanze kuchunguza nani kachanga na nani hajachanga na nani kaja na nani hajaja ili mpate cha kuchongea domo!
Shameful!
Kwani Mtoto ni Maria Tu, ficha Ukonga wakoBiblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?
Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
U hawa umekuondolea busara kabisa.What a waste of a sperm?Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?
Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Angeongoza Rais, Mzee angezikwa huku anajisikia Raha?Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?
Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
RUBISH!Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?
Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Ndio na Mimi nashangaa Machadema kutwa kucha kubwatuka na kutoa Samia ahudhurie 😂😂
Mtu hamtaki Sasa ahudhurie Ili kitokee nini?
Kwamba kuzikwa na viongozi wa serekali ndio heshima sana ama? Anayetetemekea kuzikwa ma serekali ndio ataona kuzikwa kama Sarungi ni kupungua hadhi. Endeleeni kutishia wanaoona fahari ya kuzikwa na serekali.Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?
Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Mazishi mazuri ni yapi?....yana msaada gani kwa marehemu?....Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?
Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Jamaa mmoja alikorofishana na rafiki yake akamwambia siku ukifa hata turubali siwezi kuleta kwenu !Angeongoza Rais, Mzee angezikwa huku anajisikia Raha?
Punguza jaziba mkuuBiblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?
Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Hao eti ndio wanao tegemewa kupangua hoja za wapinzani 😳 !Mazishi mazuri ni yapi?....yana msaada gani kwa marehemu?....
Hivi kumbe wewe ni mpumbavu sana...unasifia mazishi?....
Sijui Nape ana maoni gani kuhusu hili 😳!Mamlaka zinazowekwa na Mungu ni zile ambazo zimepita kihalali na siyo kama hizi zinazochakachua matokeo Kwa kuiba kura
Ni vijana useless kweli kweli....hawana msaada wowote kwa taifa!Ha
Hao eti ndio wanao tegemewa kupangua hoja za wapinzani 😳 !
Nyie watu wa aina hii huwa mnaokotwa wapi? Nimesikitika sana.Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?
Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
TOTO JINGA SANA HILOBiblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.