Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Mungu aliruhusu wizi wa Kura ili kuhitimisha UOVU NA UKATILI WA MAGUFULI NA CCM YAKE.Kwanini Mungu hakulinda kura zisiibiwe?
Kiwango cha lami,yaani sasa hivi hakuna kuingelea chochote kuhusu mtawala wetu,kila mtu anaangalia nikiongea nani atasikia?Ile Tanzania kisiwa cha Amani imetoweka. Hivi sasa ni mauaji mauaji.
Tulichemka.
Maria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition.
Katiba yangu ni ipi?Kwa hiyo akifanya kosa katiba yako inasemaje,ubavu wa kumshtaki mnadhani mnao au mnadanganywa.
Kwa mafanikio yapi Sasa aliyonayoUmeandika Hii comment nikikusoma between the lines unaonekana ni mtu fulani hivi mwenye chuki na hivi na gubu haswa kwenye mafanikio ya wengine.... Sorry Sana [emoji1787]
Ndio maana huwa tunashangaa kwanini viongozi wa afrika huwa ni madikteta kumbe huwa tunawajenga wenyewe toka huku chini ambako hawajashika dola halafu wakishika dola na kuitumia katika kuendeleza huo udikteta basi hapo ndipo tunaanza kushangaa.Huwezi kuwa dictator bila kumiliki nguvu za dola, labda kama hujui udictator ni nini.
Kabisa mdogo wangu, tulimtoa mzungu kwasababu ya kutuonea na kutunyanyasa, lakini sasa mwafrika mwenzetu ametugeuka, anasema tutaenda kwa fimbo. Amesahau kuwa hizi ndizo fimbo walizotuendeshea wazungu huku wanajenga miundo mbinu na viwanda.Mtu mweusi ataendelea kuwa mtumwa siku zote kama akili hizi hazitakombolewa!!!!!
Umesahau kuzungumzia kuwa je watu wao(wananchi) ni sawa na sisi? Unadhani Wamarekani nao wangekuwa kama sisi tulivyo wangekuwa na hayo mambo uliyoyaeleza?There is only one USA.
Kule Mapolisi haaajakimbia na maboksi ya kura, Amiri jeshi wao mkuu ameshindwa uchaguzi na anayo haki ya kuchallenge matokeo mahakamani.
Rais wa Marekani hana access na tume ya uchaguzi, na tume haingiliwi kwannamna yoyote ile.
Marekani hakuna RPC, wala IGP, kila jimbo Polisi wapo chini ya Gavana au meya inategemea na jimbo, hivyo Rais wa Marekani hana mamlaka ya kuwaamuru Polisi kukandamiza upinzani, ndio maana chama tawala ndio kinaandamana Marekani na ni haki yao ya kikatiba na kiraia kuandamana
Marekani imewafundisha kwa vitendo madikteta wote dunia jinsi uchaguzi wao unavyoendeshwa uwanja uko sawa kwa washindani na yeyote akishinda anatangazwa na kupewa nchi.
Mbowe anataka kugombea urais?Ndio maana huwa tunashangaa kwanini viongozi wa afrika huwa ni madikteta kumbe huwa tunawajenga wenyewe toka huku chini ambako hawajashika dola halafu wakishika dola na kuitumia katika kuendeleza huo udikteta basi hapo ndipo tunaanza kushangaa.
Mtu kama Magufuli hashangazi kuwa rais dikteta maana toka alipokuwa waziri huko alikuwa na huo udikteta ila alikosa dola tu,sasa ni sawa Mbowe aje kuwa rais sitoshangaa kuwa rais dikteta.