Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Mungu aliruhusu wizi wa Kura ili kuhitimisha UOVU NA UKATILI WA MAGUFULI NA CCM YAKE.Kwanini Mungu hakulinda kura zisiibiwe?
Mungu huruhusu UOVU kwa kusudi maalumu! Wana Israel waliteseka sana chini ya Utawala Katili wa Firauni ili mwisho oneshe mkono wake wene nguvu wa KUWAKOMBOA WANA ISRAEL KUTOKA MISRI.