Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Kwanini Mungu hakulinda kura zisiibiwe?
Mungu aliruhusu wizi wa Kura ili kuhitimisha UOVU NA UKATILI WA MAGUFULI NA CCM YAKE.

Mungu huruhusu UOVU kwa kusudi maalumu! Wana Israel waliteseka sana chini ya Utawala Katili wa Firauni ili mwisho oneshe mkono wake wene nguvu wa KUWAKOMBOA WANA ISRAEL KUTOKA MISRI.
 
Ile Tanzania kisiwa cha Amani imetoweka. Hivi sasa ni mauaji mauaji.
Tulichemka.
Kiwango cha lami,yaani sasa hivi hakuna kuingelea chochote kuhusu mtawala wetu,kila mtu anaangalia nikiongea nani atasikia?

Labda ukaongee na mkeo na familia yako ukifika nyumbani kwamba mambo yapo hovyo hovyo sio km zamani mtu unaweza kupata elimu ya siasa na mambo yanavyoenda sehemu yoyote!

Kiukweli Watanzania tuna hofu,hofu kubwa na hakuna kipindi Watanzania hawana fuaraha kama kipindi hiki!
Ila yote yatapita kikubwa uhai ili tuone yanapita vipi!
 
Hi inaitwa chuki roho mbaya tamaa ubinafsi wivu uchoyo uwongo.
 
Mtu mweusi ataendelea kuwa mtumwa siku zote kama akili hizi hazitakombolewa!
 
Crimes against humanity like War crimes, murder, massacres, dehumanization, genocide, ethnic cleansing, deportations, unethical human experimentation, extrajudicial punishments including summary executions, use of weapons of mass destruction, state terrorism or state sponsoring of terrorism, death squads, kidnappings and forced disappearances, use of child soldiers, unjust imprisonment, enslavement, torture, rape, political repression, racial discrimination, religious persecution nk

Kuna hata moja imetokea nchini kwetu hapa?? Wapi?

Sent from my Plume L2 Pro using JamiiForums mobile app
 
SARUNGI ANAVYOYASHINIKIZA MATAIFA MAKUBWA YAIPIGE TANZANIA

Maria Sarungi Tsehai amejisifu kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba ameishitaki Tanzania kwenye Mahakama ya Kimataifa eti kwa tuhuma ya Uhalifu dhidi ya Ubinadamu (Crimes Against Humanity).

Kiufupi, huyu anataka Tanzania ivamiwe na kushambuliwa na wababe wa Dunia ambao hujifanya eti askari wa Ulimwengu.

Kwakweli, ukiangalia historia utaona kwamba kifungu cha maneno "Crimes Against Humanity" kimetumiwa kuhalalisha uvamizi wakijeshi huko Iraq, Libya, Vietnam n.k

Matokeo ya uvamizi huo ni mauaji ya wanawake na watoto, ulemavu kwa vijana, uyatima, uharibifu wa rasilimali n.k

Pia, neno hilo tumeona likihalalisha vikwazo haramu ambavyo hupelekea vifo, njaa, maradhi n.k

Tunamuomba Mungu amuangamize "adui kiumbe" huyu aliyemzidi shetani kwa laana.

Sent from my Plume L2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Izi sarakas za chadema umu jamiforums hazito Kuja kuisha maneno ya maanshi yasio zid elfu 1 wanaita ni harakat za kulikomboa taifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya Wana Mapinduzi endeleeni.
 
Umeandika Hii comment nikikusoma between the lines unaonekana ni mtu fulani hivi mwenye chuki na hivi na gubu haswa kwenye mafanikio ya wengine.... Sorry Sana [emoji1787]
Kwa mafanikio yapi Sasa aliyonayo

Mpaka Sasa Hana hata familia anahangaika tu kukosoa serikalini kill uchwao

Au mafanikio NI kushindana Twitter?

Tena mm huyo simpati hata kwa umri maana alisoma na Dada yangu mkubwa NI Mtu ana 50 yrs muulize amefanikisha Nini Katika uanaharakati wake.

Watoto was viongozi wanapenda sana kutetemekewa Sasa wakikuta uongozi usioendekeza hayo Mambo wanahaha
 
Huwezi kuwa dictator bila kumiliki nguvu za dola, labda kama hujui udictator ni nini.
Ndio maana huwa tunashangaa kwanini viongozi wa afrika huwa ni madikteta kumbe huwa tunawajenga wenyewe toka huku chini ambako hawajashika dola halafu wakishika dola na kuitumia katika kuendeleza huo udikteta basi hapo ndipo tunaanza kushangaa.

Mtu kama Magufuli hashangazi kuwa rais dikteta maana toka alipokuwa waziri huko alikuwa na huo udikteta ila alikosa dola tu,sasa ni sawa Mbowe aje kuwa rais sitoshangaa kuwa rais dikteta.
 
Mtu mweusi ataendelea kuwa mtumwa siku zote kama akili hizi hazitakombolewa!!!!!
Kabisa mdogo wangu, tulimtoa mzungu kwasababu ya kutuonea na kutunyanyasa, lakini sasa mwafrika mwenzetu ametugeuka, anasema tutaenda kwa fimbo. Amesahau kuwa hizi ndizo fimbo walizotuendeshea wazungu huku wanajenga miundo mbinu na viwanda.

Tumerudi kulekule.

Poor my land Tz. Ipo siku utakomboka.
 
There is only one USA.

Kule Mapolisi haaajakimbia na maboksi ya kura, Amiri jeshi wao mkuu ameshindwa uchaguzi na anayo haki ya kuchallenge matokeo mahakamani.

Rais wa Marekani hana access na tume ya uchaguzi, na tume haingiliwi kwannamna yoyote ile.

Marekani hakuna RPC, wala IGP, kila jimbo Polisi wapo chini ya Gavana au meya inategemea na jimbo, hivyo Rais wa Marekani hana mamlaka ya kuwaamuru Polisi kukandamiza upinzani, ndio maana chama tawala ndio kinaandamana Marekani na ni haki yao ya kikatiba na kiraia kuandamana

Marekani imewafundisha kwa vitendo madikteta wote dunia jinsi uchaguzi wao unavyoendeshwa uwanja uko sawa kwa washindani na yeyote akishinda anatangazwa na kupewa nchi.
Umesahau kuzungumzia kuwa je watu wao(wananchi) ni sawa na sisi? Unadhani Wamarekani nao wangekuwa kama sisi tulivyo wangekuwa na hayo mambo uliyoyaeleza?
 
Ndio maana huwa tunashangaa kwanini viongozi wa afrika huwa ni madikteta kumbe huwa tunawajenga wenyewe toka huku chini ambako hawajashika dola halafu wakishika dola na kuitumia katika kuendeleza huo udikteta basi hapo ndipo tunaanza kushangaa.

Mtu kama Magufuli hashangazi kuwa rais dikteta maana toka alipokuwa waziri huko alikuwa na huo udikteta ila alikosa dola tu,sasa ni sawa Mbowe aje kuwa rais sitoshangaa kuwa rais dikteta.
Mbowe anataka kugombea urais?
 
TANGAZO. Tunauza movies za aina zote, bei ni 1500 - 3500 (inategemea ukubwa wa movie) pia tuna tuma kwa WhatsApp na E-mail. Ni PM kwa wanaohitaji!!! KARIBUNI SANA!
 
Hivi huyu dada anaishi hapa hapa Tanzania au nje ya Tanzania?
 
Back
Top Bottom