Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Uwezo wa kufikiri huyo dada ni mdogo sana! Anataka tu watu wajazani kwenye tweets zake ili aongeze followers kama alivyokuwa anafanya Mange! Lakini ni utopolo tu!
Alice Uhuru Kenyata, na leo ni president
 
Huyu mwanamke 1 bora kuliko wanaume ccm 1000.
Nilijua huyo mwanamke mmoja ni bora kuliko wanaume 1000 waliyojificha humu mtandaoni kiogopa serikali na kuishia nyuma ya keyboard wakati meanamke anafanya harakati bila kujificha kwa kihofia serikali.
 
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

Majizi naona yanatapatapa, yalitaka kichafua nchi yameshindwa yameamua kutengeneza documentary feki...
 
Kwa hiyo kumbe ni ukweli mtupu ambao huwa anausema yule mwana harakati huru kumhusu huyo dada?

Hiyo petition ni andiko tu kama mengine yakujipatia pesa kutoka kwa wenye mifuko ya kudhamini mifarakano na uasi duniani.

There shall be no effective action, as by doing so it obviously proves the malicious intent by the treacherous traitors and mercenaries mission against the Tanzanian State which nonethelless is futile to come true .
 
Wafa maji hawaishi kutapatapa, Magufuli atamaliza mitano na hakuna kitu kitatokea.

Wanachofanya kina Lissu, Lema na wengine ni kuipandisha Tanzania ifikie kile kiwango cha nchi hatarishi kuishi ili i qualify kushtakiwa ICC.

Hili halitatokea Tanzania ya sasa. Njia pekee ambayo ingefanikiwa ni kama maandamano yao yangefanyika na vurugu kutokea.

Dunia nzima imeona namna wananchi walivyowakataa. Hizo ngojera za ICC zitaisha soon
 
Asubiri lisasi zisizoonekana from Heeaven zitakavyoshukia indirectly. Muulize Mwenyekibri Pompeo kinachoenda kumtokea
 
kujimwambafai kwa huyu dada. Huo upupu hauna vigezo vya kupokelewa kwenye ICC . Propaganda tu ; hela ya mabeberu siyo lelemama.
Jidanganye hapo wewe mjinga wa CCM malofa. Al Bashir yuko wapi Leo? Magufuli lazma anyee ndoo na vibaraka wake.
 
KILA jambo LINASABABU,NA MUNGU ATAKUJA KUZIDHIHIRISHA MUDA SI MREFU....

Mtasubiri hadi lini toka 1992 mnasema hivyo hivyo. Endeleeni kusubiria wenzenu tunakula mema ya nchi.
 
Atatinga lakini tukiwa tumeshapata maendeleo.
Usishangae siku hizi mbili tatu hiyu binti wa Sarungi na yule wa Karume ukasikia wanaomba hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa. Nchi hii haina upinzani bali usaniiii
 
Tunakiri kupokea box/Parcel yenye malalamiko kutoka huko Tanzania ..bahati nzuri kuna malalamiko ya bwana Donald Trump tutafanyia kazi kwa pamoja
 
Kapuuzi sana aka kadada bora mzee angepiga puny** kakatokelea mbali
 
Anadhani atafanikiwa?
Niseme kwa dhati kabisa anachosema sarungi ni just madrama tu ambayo yanaonyesha wazi kwamba hawaitakii mema nchi yetu na hawana uzalendo hata kidogo watanzania tusidanganyike na hawa

hana lolote huyu , anafikiri ICC ni mashindano ya urembo? Acha tumalize shughuli za kuunda serikali halafu tutashughulika na hiki kicheche. Yeye na Fatma wanawashwa na very soon watakunwa na brush ya chuma, zis is bongo bana.
Mbona Kagame ni despot lakini hashindani na mabeberu
ndio maana tudenge twake tunapaa kila anga
sisi ujanja wa kizamani hata sauzi tunaoogopa na tuvindege twetu
mabeberu huku wanakuja kuparura kahawa korosho na dhahabu
halafu wanatuacha solemba au utakunywa kahawa yako mwenyewe
walimwambia maduro tumia mafuta mwenyewe, nchi ikawa mbwa kala mbwa
Mitano mingine mpaka nikirudi £1 ni shs10,000 hapo safi natanua tu
 
Magufuli pga kazi bdae ukapumzike achana na watoto wadogo hawa.
 
Back
Top Bottom