Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Tafuteni kazi,tafuteni mitaji mfanye kazi au biashara.Hao mnao wafuata wanafurahi kuona mnawafuata lakini si hivyo.pigeni kazi,
JPM PIGA KAZI.wapiga mayowe wachache wasitusimamishe.
Asante! Namshukuru Mzee Sarungi kwa kutupatia damu ya Kizungu, ni damu zenye akili na Jasiri itatusaidia kuliokoa Taifa hili.

Hata damu ya Kizungu iliyoko mwilini mwa Lissu baada ya kuwekewa damu ya kitasha huko Ubelgiji hospitali, imeongeza ujasiri wake na akili mara dufu, ndiyo maana vilaza wa Lumumba wanamshindwa kwenye kila move yao!

Vijana, mnaoenda huko nje masomoni, oeni wazungu mtuchanganyie damu tupate vizazi vya magenius na majasiri, viiokoe nchi hii kutoka kwa Interahamwe!
 
Na kinachoniuma ni hao waliosomeshwa kwa kodi yetu bure bila ya kuilipa miaka hiyo kabla ya bodi ya mikopo ndio wanaongoza kwa usaliti.
Tena hata heshima kwa nchi yao ambayo wana uhuru mkubwa wa kufanya kazi.
Magufuli pga kazi bdae ukapumzike achana na watoto wadogo hawa.
 
Kwa mafanikio yapi Sasa aliyonayo

Mpaka Sasa Hana hata familia anahangaika tu kukosoa serikalini kill uchwao

Au mafanikio NI kushindana Twitter?

Tena mm huyo simpati hata kwa umri maana alisoma na Dada yangu mkubwa NI Mtu ana 50 yrs muulize amefanikisha Nini Katika uanaharakati wake.

Watoto was viongozi wanapenda sana kutetemekewa Sasa wakikuta uongozi usioendekeza hayo Mambo wanahaha
Whatever she is ila nimeona na kupitia komenti zako nyingi una chembe chembe za chuki sana bandugu...
 
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

Ukisikia comedy ndiyo hizi sasa, kwa bahati mbaya wale vijana wa ufipa wataamini kama walivyoaminishwa kwamba Lissu atakuwa Rais na asipokuwa atawaingiza wananchi barabarani.
 
Na kinachoniuma ni hao waliosomeshwa kwa kodi yetu bure bila ya kuilipa miaka hiyo kabla ya bodi ya mikopo ndio wanaongoza kwa usaliti.
Tena hata heshima kwa nchi yao ambayo wana uhuru mkubwa wa kufanya kazi.

Usaliti gani huwa mnausemea?! Mama yako analishwa na kulala na Baba yako ndio anaweza saliti. Hapo una jibu!?
 
Hivi maelewa vigezo na viwango vya kesi zinazostahilk kupokelewa ICE?

Mbona hamjiukizi kina DUTERTE wa philipine mbona hajatinga huko?

Au mnafikiri ICC ni sawa na mahakama ya kisutu?

Nadhani kesho kutwa utamsikia na yeye anaomba ukimbizi kwamba ametishiwa maisha.
 
Inawezekana sana, kuwa Tanzania ya kesho itawategemea wanawake zaidi kwa mstakabali wa uhai wake.

Lakini linaloshangaza zaidi, wanawake walioko CCM ni kama vifaa tu vya kutumiwa; kulikoni?
Wanaingizwa na dikteta ajili ya kutumiwa
 
Maria Sarungi ni mtoto wa kiongozi aliyetumikia Serikali Kwa manufaa makubwa bahati mbaya unaweza zaa mtoto kisha athirisi chochote toka kwako
 
Maria Sarungi ni mtoto wa kiongozi aliyetumikia Serikali Kwa manufaa makubwa bahati mbaya unaweza zaa mtoto kisha athirisi chochote toka kwako
Wewe jifunze kuandika Kiswahili kwanza kabla ya kujifaragua kuchambua siasa.

"Athirisi" ndiyo nini?
 
Asante! Namshukuru Mzee Sarungi kwa kutupatia damu ya Kizungu, ni damu zenye akili na Jasiri itatusaidia kuliokoa Taifa hili.

Hata damu ya Kizungu iliyoko mwilini mwa Lissu baada ya kuwekewa damu ya kitasha huko Ubelgiji hospitali, imeongeza ujasiri wake na akili mara dufu, ndiyo maana vilaza wa Lumumba wanamshindwa kwenye kila move yao!

Vijana, mnaoenda huko nje masomoni, oeni wazungu mtuchanganyie damu tupate vizazi vya magenius na majasiri, viiokoe nchi hii kutoka kwa Interahamwe!
Weee ishia hapohapo hawakawii kujiita waarabu wale tuone km mtakaa, kwani unadhani, Saudia ilianzaje km hivi...usemavyo.matokeo yake tukasukumwa huko tukawa watumwa wao!

we si mdengereko ukipima damu utaikuta huko uarabuni, ilifikaje utajiju
 
Back
Top Bottom