Alice Uhuru Kenyata, na leo ni presidentUwezo wa kufikiri huyo dada ni mdogo sana! Anataka tu watu wajazani kwenye tweets zake ili aongeze followers kama alivyokuwa anafanya Mange! Lakini ni utopolo tu!
Nilijua huyo mwanamke mmoja ni bora kuliko wanaume 1000 waliyojificha humu mtandaoni kiogopa serikali na kuishia nyuma ya keyboard wakati meanamke anafanya harakati bila kujificha kwa kihofia serikali.Huyu mwanamke 1 bora kuliko wanaume ccm 1000.
Majizi naona yanatapatapa, yalitaka kichafua nchi yameshindwa yameamua kutengeneza documentary feki...Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"
Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.
Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.
Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:
Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -
Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!
Wewe mbuzi kumbeHivi bado Kuna watu wanaamini? Huyo mama wa Twitter anafakiri ICC itabadili kitu juu ya maamuzi ya watanzania ! Anajisumbua tu!
Tunachojua Haishi kwenye keyboard kama wewe..Pisi kali akili kali. Hivi yupo anaishi bongo au nje?
KILA jambo LINASABABU,NA MUNGU ATAKUJA KUZIDHIHIRISHA MUDA SI MREFU....Kwanini Mungu hakulinda kura zisiibiwe?
Kwa hiyo kumbe ni ukweli mtupu ambao huwa anausema yule mwana harakati huru kumhusu huyo dada?Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"
Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.
Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.
Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:
Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -
Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!
Jidanganye hapo wewe mjinga wa CCM malofa. Al Bashir yuko wapi Leo? Magufuli lazma anyee ndoo na vibaraka wake.kujimwambafai kwa huyu dada. Huo upupu hauna vigezo vya kupokelewa kwenye ICC . Propaganda tu ; hela ya mabeberu siyo lelemama.
KILA jambo LINASABABU,NA MUNGU ATAKUJA KUZIDHIHIRISHA MUDA SI MREFU....
Hii hata mimi nimejiuliza sana.Ameshaomba hifadhi au anaandika tu? Ajifikirie mara mbili
Usishangae siku hizi mbili tatu hiyu binti wa Sarungi na yule wa Karume ukasikia wanaomba hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa. Nchi hii haina upinzani bali usaniiiiAtatinga lakini tukiwa tumeshapata maendeleo.
Anadhani atafanikiwa?
Niseme kwa dhati kabisa anachosema sarungi ni just madrama tu ambayo yanaonyesha wazi kwamba hawaitakii mema nchi yetu na hawana uzalendo hata kidogo watanzania tusidanganyike na hawa
Mbona Kagame ni despot lakini hashindani na mabeberuhana lolote huyu , anafikiri ICC ni mashindano ya urembo? Acha tumalize shughuli za kuunda serikali halafu tutashughulika na hiki kicheche. Yeye na Fatma wanawashwa na very soon watakunwa na brush ya chuma, zis is bongo bana.
Vp maria ana ndoa? Kama yupo single tujue!Moja damu ya Kiarabu, nyingine damu ya Kizungu!
Hizo ni damu bishi hazikubali ukondoo kondoo kirahisi rahisi
View attachment 1623116
ENDELEA kujidanganya.....Mtasubiri hadi lini toka 1992 mnasema hivyo hivyo. Endeleeni kusubiria wenzenu tunakula mema ya nchi.