Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Tafuteni kazi,tafuteni mitaji mfanye kazi au biashara.Hao mnao wafuata wanafurahi kuona mnawafuata lakini si hivyo.pigeni kazi,
JPM PIGA KAZI.wapiga mayowe wachache wasitusimamishe.
 
Na kinachoniuma ni hao waliosomeshwa kwa kodi yetu bure bila ya kuilipa miaka hiyo kabla ya bodi ya mikopo ndio wanaongoza kwa usaliti.
Tena hata heshima kwa nchi yao ambayo wana uhuru mkubwa wa kufanya kazi.
Magufuli pga kazi bdae ukapumzike achana na watoto wadogo hawa.
 
Whatever she is ila nimeona na kupitia komenti zako nyingi una chembe chembe za chuki sana bandugu...
 
Ukisikia comedy ndiyo hizi sasa, kwa bahati mbaya wale vijana wa ufipa wataamini kama walivyoaminishwa kwamba Lissu atakuwa Rais na asipokuwa atawaingiza wananchi barabarani.
 
Na kinachoniuma ni hao waliosomeshwa kwa kodi yetu bure bila ya kuilipa miaka hiyo kabla ya bodi ya mikopo ndio wanaongoza kwa usaliti.
Tena hata heshima kwa nchi yao ambayo wana uhuru mkubwa wa kufanya kazi.

Usaliti gani huwa mnausemea?! Mama yako analishwa na kulala na Baba yako ndio anaweza saliti. Hapo una jibu!?
 
Hivi maelewa vigezo na viwango vya kesi zinazostahilk kupokelewa ICE?

Mbona hamjiukizi kina DUTERTE wa philipine mbona hajatinga huko?

Au mnafikiri ICC ni sawa na mahakama ya kisutu?

Nadhani kesho kutwa utamsikia na yeye anaomba ukimbizi kwamba ametishiwa maisha.
 
Inawezekana sana, kuwa Tanzania ya kesho itawategemea wanawake zaidi kwa mstakabali wa uhai wake.

Lakini linaloshangaza zaidi, wanawake walioko CCM ni kama vifaa tu vya kutumiwa; kulikoni?
Wanaingizwa na dikteta ajili ya kutumiwa
 
Maria Sarungi ni mtoto wa kiongozi aliyetumikia Serikali Kwa manufaa makubwa bahati mbaya unaweza zaa mtoto kisha athirisi chochote toka kwako
 
Hebu tutajie hio mahakama ya ndani unayoiona inaweza kushughulikia madai hayo mkuu.
Huyo ameongea bila kuwa na ufahamu wa maswala haya. Eti mahakama za ndani my foot!!
 
Maria Sarungi ni mtoto wa kiongozi aliyetumikia Serikali Kwa manufaa makubwa bahati mbaya unaweza zaa mtoto kisha athirisi chochote toka kwako
Wewe jifunze kuandika Kiswahili kwanza kabla ya kujifaragua kuchambua siasa.

"Athirisi" ndiyo nini?
 
Weee ishia hapohapo hawakawii kujiita waarabu wale tuone km mtakaa, kwani unadhani, Saudia ilianzaje km hivi...usemavyo.matokeo yake tukasukumwa huko tukawa watumwa wao!

we si mdengereko ukipima damu utaikuta huko uarabuni, ilifikaje utajiju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…