Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Tatizo ni Kama kinachoitwa ushahidi ni Cha kweli. Kuna fake videos halafu Kama ni vielelezo viongozi wa chadema baadhi yao watakuwa matatizoni kwa ushahidi ambao upo tayari dhidi yao..
 
Wazungu waliwaua babu zako acha huo ushamba
 
Maria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima jitu litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition...
Atatinga lakini tukiwa tumeshapata maendeleo.
 
Binadamu ni wabinafsi sana, sikutegemea viongozi wa dini kukalia kimya uonevu unaoendelea hapa nchini. Namsikia Askofu Mwamakula na Askofu Bagonza wakiwa mstari wa mbele kukemea madhambi, wengine wanakula kuku juu ya damu za ndugu zao.
Aibu kubwa.
Hawa viongozi wetu wa dini ni aibu tupu. Binafsi nimeamua kuendelea kumtumainia Mungu huku nikiwapuuza sana viongozi hawa wa kuomba michango kila leo kupitia Jumuia ndogondogo. Kama nina kitu aheri niwatafute maskini niwape kuliko kuwapa wanafiki wa madhabahuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maria,
Unamuaibisha mjukuu wangu Prof Sarungi na sifa zako za kijinga. Profesa ametumikia taifa la Tz kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu. ICC hawafanyi kazi kwa cheap politics. Tizama ni vema ukaongeza marafiki kuliko kuongeza maadui.
 
Maria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima jitu litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition...
Sikutegemea kama na wewe umesombwa na maji ya udanganyifu yaliyofunguliwa na wanasiasa wa siasa za kipinzani! Pole.
 
Maria,
Unamuaibisha mjukuu wangu Prof Sarungi na sifa zako za kijinga. Profesa ametumikia taifa la Tz kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu. ICC hawafanyi kazi kwa cheap politics. Tizama ni vema ukaongeza marafiki kuliko kuongeza maadui.
Kwako uzalendo ni kufumbia macho udhalimu kama wafanyavyo viongozi wa Bakwata na maaskofu?
 
Hivi mnaijua ICC kweli? Naona watu wanashabikia tu kila habari inayokuja kwa lengo la kuwatia moyo😂😂
 
Hata zamani mliwahinkupeleka vimadai vyenu huko ICC na badae hamkurudinkutwambia wamevitupa au au vnafanyiwa kazi mpaka sasa,
Nadhani toka enzi ya kikwete mnapeleka huko.
 
Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Unajua remedies against the government zipoje hapa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…