Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atatinga lakini tukiwa tumeshapata maendeleo.Maria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima jitu litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition...
Hawa viongozi wetu wa dini ni aibu tupu. Binafsi nimeamua kuendelea kumtumainia Mungu huku nikiwapuuza sana viongozi hawa wa kuomba michango kila leo kupitia Jumuia ndogondogo. Kama nina kitu aheri niwatafute maskini niwape kuliko kuwapa wanafiki wa madhabahuni.Binadamu ni wabinafsi sana, sikutegemea viongozi wa dini kukalia kimya uonevu unaoendelea hapa nchini. Namsikia Askofu Mwamakula na Askofu Bagonza wakiwa mstari wa mbele kukemea madhambi, wengine wanakula kuku juu ya damu za ndugu zao.
Aibu kubwa.
Sikutegemea kama na wewe umesombwa na maji ya udanganyifu yaliyofunguliwa na wanasiasa wa siasa za kipinzani! Pole.Maria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima jitu litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition...
Kwako uzalendo ni kufumbia macho udhalimu kama wafanyavyo viongozi wa Bakwata na maaskofu?Maria,
Unamuaibisha mjukuu wangu Prof Sarungi na sifa zako za kijinga. Profesa ametumikia taifa la Tz kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu. ICC hawafanyi kazi kwa cheap politics. Tizama ni vema ukaongeza marafiki kuliko kuongeza maadui.
Nikikumbuka mbilingembilinge zenu za kushitakiwa MiGA juu ya makinikia!!! Natikisa kichwa tu!Huyu dada ni mpambanaji wa kiwango cha kimataifa.
Mungu amlinde dhidi ya watu wasiojulikana.
Hata zamani mliwahinkupeleka vimadai vyenu huko ICC na badae hamkurudinkutwambia wamevitupa au au vnafanyiwa kazi mpaka sasa,Hakika tumepata "washindi" (victors) na timu inazidi kuongezeka wanaharakati kuhakikisha ushindi katika Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu hatimaye upatikane pamoja ya kuwa waTanzania wengi wameamua kujisaliti na kutelekeza agano, kwa kujiunga na viongozi matapeli wa dini kuombea kwa maombi yawepo maisha mazuri baada ya uchaguzi..
Unajua remedies against the government zipoje hapa Tanzania?Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?
Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.