Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Wakuu, ICC inawachukua muda gani kusema maombi yetu watanzania yamekubaliwa ama lah?

Wahenga walisema "Mchuzi wa mbwa hunywewa ukiwa wa moto moto"
 
Sipati picha shangwe la wabongo hii ikienda vizuri. Nahisi watu watajichagulia mapumziko hata ya siku 3 - kuenjoy na kushereheka.
 
Mnaangaika chadema itoe wabunge wa viti maalum ili mpate 2trillion, izo ela ni toka kwa mabeberu pia au ndio baniani mbaya kiatu chake dawa?

kujimwambafai kwa huyu dada. Huo upupu hauna vigezo vya kupokelewa kwenye ICC . Propaganda tu ; hela ya mabeberu siyo lelemama.
 
Damu ya kizungu unaijua wewe? Mnajisumbua sana nyie. Imeisha hiyooooooooo
 
Moja damu ya Kiarabu, nyingine damu ya Kizungu!

Hizo ni damu bishi hazikubali ukondoo kondoo kirahisi rahisi

View attachment 1623116
Kumbe ni damu ya Hungary duu wamechoka vichwani hao ile mbaya,,, mwambieni huko ICC ataenda yeye na boyfriend wake, mkisikia nguvu ya wananchi ndiyo hiyo inayowakimbiza wapuuzi, nendeni Kenya na mkija huko mkachague na kabila la kujiunga, mmekwisha kabasa na bado by 2025 wapuuzi wote mtakuwa CCM na tutawachaji fees ili kurudi.

Kukimbia kwenu ni kuwatapeli wafadhili wenu mabeberu kwani wananchi wamewakataeni nyote kwa mpigo na kuchagua maendeleo badala ya matumbo yenu mfyuuuuuu.
 
Maria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.

Safari hii lazima litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition.
Inawezekana sana, kuwa Tanzania ya kesho itawategemea wanawake zaidi kwa mstakabali wa uhai wake.

Lakini linaloshangaza zaidi, wanawake walioko CCM ni kama vifaa tu vya kutumiwa; kulikoni?
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘ˆπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘ˆπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘ˆ

Hivi mtu ukaa kwako unaangalia wanao unawapa malezi Bora unangoja cku yako ya kufa kwa amani. Na utulivu unapungukiwa. Nini?

Hivi mnadhani ICC Ni kama kwenda Toilet na kurudi?

Msijidanganye kwa hiyo hamnaga mambo Kama hayo.

NEVER
 
Maria Sarungi ni dad na mama mpambanaji. Mungu am akili sanasana kwa kazi nzuri!

ANGALIZO: Ninachoweza kusema kwa dada Maria ni kuwa vigilant and very alert kipindi hiki cha Utawala katili,ovu na kidikteta. Very soon mafisi na manyang'au wa Lumumba wataanza kumfuatilia kutaka kumzuru!

Lissu yuko ubalozi wa Ujerumani,Lema yuko Kenya, Mbowe,Maalim Seif n.k hawajui hatima ya maisha yao!

Ni aib,aibu, na aibu kwa Maguguli na CCM lake! Walaaniwe na Bunge lote la manyang'au walioko Dodoma!
 
Sasa kosa kafanya rais, umshitaki waziri wa ulinzi?

Nikifanya kosa mimi wewe utakubali kushitakiwa badala yangu?
Kwa hiyo akifanya kosa katiba yako inasemaje,ubavu wa kumshtaki mnadhani mnao au mnadanganywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…