Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Kwa uandishi huu tutaendelea kuitwa nyani miaka nenda rudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Link pleaseIko hivyo tokea mwanzo, endelea kujaribu itafunguka kwa English.
Unataka risiti wewe TRA?Risiti za kupeleka hizo information ameonyesha?
Katuharibia sana, maana naamini alimjua vema huyu mtu kabla hajamkabidhi kijiti.Mzee Vasco Da Gama katuharibia nchi yetu
Si wewe tu, nchi nzima itashangilia kwa vifijo na nderemo!! Tunaisubiri siku hiyo kwa shauku kuu.Yaani nafanya party mpaka nitambae sakafuni
kujimwambafai kwa huyu dada. Huo upupu hauna vigezo vya kupokelewa kwenye ICC . Propaganda tu ; hela ya mabeberu siyo lelemama.
Mkuu pisi kali unaijua lakini? Yaani Maria ni pisi kali? daaaaaaaaaahPisi kali akili kali. Hivi yupo anaishi bongo au nje?
Kumbe ni damu ya Hungary duu wamechoka vichwani hao ile mbaya,,, mwambieni huko ICC ataenda yeye na boyfriend wake, mkisikia nguvu ya wananchi ndiyo hiyo inayowakimbiza wapuuzi, nendeni Kenya na mkija huko mkachague na kabila la kujiunga, mmekwisha kabasa na bado by 2025 wapuuzi wote mtakuwa CCM na tutawachaji fees ili kurudi.Moja damu ya Kiarabu, nyingine damu ya Kizungu!
Hizo ni damu bishi hazikubali ukondoo kondoo kirahisi rahisi
View attachment 1623116
Inawezekana sana, kuwa Tanzania ya kesho itawategemea wanawake zaidi kwa mstakabali wa uhai wake.Maria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition.
Huyo jamaa naona hajitambui.Sasa kosa kafanya rais, umshitaki waziri wa ulinzi?
Nikifanya kosa mimi wewe utakubali kushitakiwa badala yangu?
Kwa hiyo akifanya kosa katiba yako inasemaje,ubavu wa kumshtaki mnadhani mnao au mnadanganywa.Sasa kosa kafanya rais, umshitaki waziri wa ulinzi?
Nikifanya kosa mimi wewe utakubali kushitakiwa badala yangu?
Wewe unayefikiri sawa sawa changia kidogo tuuone uelewa wako.Unatafakari sawasawa kweli?