Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Kuna receipt knowlegment statement lazima itolewe. Usifikiri risiti kama ya basi.
 
Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Mahakama za ndani kwani majaji huwa wanateuliwa na Nani?
 
Ameshaomba hifadhi au anaandika tu? Ajifikirie mara mbili
 
Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Hao ni wanasheria, labda utaratibu upo hivyo.
 
Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
We nawe
Kuna jaji yoyote mwenye guts za kumhukumu Magu? Kama kesi tu za marudio ya uchaguzi wanaisaidia serikali, wataweza hii ya uchaguzi mkuu?
 
Naijua ICC or Kwa maneno mengine Nimefanyakazi hapo Hakuna receipt uwa mtu anapewa....make my word..Kesi za Kenya, pierre bemba Plus Charles Tailors na wale Wababe wote wa Kivita toka Kongo Nilikuwepo... So Hakuna Receipt..Jinai sio leo wala kesho ,Kama malalamiko yakiperekwa ICC, jua tu kuna siku kitawanukia watu na ni pale tu watakapotoka madarakani. Kwa sasa ni Raha tu Kumbuka; yugoslavia/Sebia hakina Milosvic na Karadish plus many other....
Lakini kumbuka kwamba kumsubiri Magufuli atoke madarakani ni kama tu kusubiri embe chini ya mbuyu

Hivi hakuna Wanyarwanda au waganda ambao wameshapeleka kesi ICC?
 
Hakuna kiongozi dictator anaogopa mahakama za ndani ya nchi yake, madictator huogopa nguvu ya umma tu.
Madikteta wako kwenye Saccos ya Chadema ndiyo maana hamtaki yule dada aliyeshinda ubunge huko Nkasi aingie bungeni.
 
Back
Top Bottom