Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama za ndani kwani majaji huwa wanateuliwa na Nani?Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?
Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Linaweza lisiwepo lakini record zimewekwa sawa.Tufahamu kuwa baada ya hapo hapatakuwa na jipya lolote
Elfu kumi.Hivi ile petition zinatakiwa sign ngapi ili ikamilike?
Alilinda mpaka hapo ndio maana tume wameshindwa kubalance kura za wabunge.Kwanini Mungu hakulinda kura zisiibiwe?
Walipata katiba mpya na matokeo ya Rais kuhojiwa mahakamani.ICC hivi kesi ya wakenya iliishia wapi?
Hao ni wanasheria, labda utaratibu upo hivyo.Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?
Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Bado inazunguka ....nasikia wanaweza kuanza kwenda tena.ICC hivi kesi ya wakenya iliishia wapi?
Yaani nafanya party mpaka nitambae sakafuniMaria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima jitu litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition.
We naweKwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?
Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Hivi ile petition zinatakiwa sign ngapi ili ikamilike?
Lakini kumbuka kwamba kumsubiri Magufuli atoke madarakani ni kama tu kusubiri embe chini ya mbuyuNaijua ICC or Kwa maneno mengine Nimefanyakazi hapo Hakuna receipt uwa mtu anapewa....make my word..Kesi za Kenya, pierre bemba Plus Charles Tailors na wale Wababe wote wa Kivita toka Kongo Nilikuwepo... So Hakuna Receipt..Jinai sio leo wala kesho ,Kama malalamiko yakiperekwa ICC, jua tu kuna siku kitawanukia watu na ni pale tu watakapotoka madarakani. Kwa sasa ni Raha tu Kumbuka; yugoslavia/Sebia hakina Milosvic na Karadish plus many other....
Madikteta wako kwenye Saccos ya Chadema ndiyo maana hamtaki yule dada aliyeshinda ubunge huko Nkasi aingie bungeni.Hakuna kiongozi dictator anaogopa mahakama za ndani ya nchi yake, madictator huogopa nguvu ya umma tu.