denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Nilikuwa nafanya utani na hiki kitu ngoja nikaweke kura yangu.10,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nafanya utani na hiki kitu ngoja nikaweke kura yangu.10,000
Kwani hasijafika tu!10,000
Mahakama ya KisutuHebu tutajie hio mahakama ya ndani unayoiona inaweza kushughulikia madai hayo mkuu.
Madikteta wako kwenye Saccos ya Chadema ndiyo maana hamtaki yule dada aliyeshinda ubunge huko Nkasi aingie buni.
Hizo mahakama za ndani zina uhuru wa kutenda haki?Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?
Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Hata wasipoitwa ICC Marekani tayari imeshaweka bayana inayo orodha ya majina ya watu wa kushughulikiwa.Siku jamaa wanaanza safari za ICC kuna jogoo wangu mkubwaa saana lazima nimchinje ishara ya kuwashukuru wote waliofanikisha hilo.
Kulingana na Katiba yetu mahakama ni mhimili ulio huru japo majaji huteuliwa na kiongozi wa mhimili mwingine (Rais).Mahakama za ndani kwani majaji huwa wanateuliwa na Nani?
Marekani ipi unayo izungumzia wewe ya Biden au ya TrumpHata wasipoitwa ICC Marekani tayari imeshaweka bayana inayo orodha ya majina ya watu wa kushughulikiwa.
Ni swala la muda tu.
Katiba ya chama kimoja hiyo, tume ya uchaguzi ikimtangaza Rais matokeo hayawezi kuhojiwa popote.Kulingana na Katiba yetu mahakama ni mhimili ulio huru japo majaji huteuliwa na kiongozi wa mhimili mwingine (Rais).
Huyo alikuwa anafagia fagia hapo nje sasa anajifanya kujua how ICC inavyofanya kazi. Alidhani ni risiti Kama ya ununuzi was bidh[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna receipt knowlegment statement lazima itolewe. Usifikiri risiti kama ya basi.
There is only one USA.Marekani ipi unayo izungumzia wewe ya Biden au ya Trump
Sawa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Marekani umeelewekaThere is only one USA.
Kule Mapolisi haaajakimbia na maboksi ya kura, Amiri jeshi wao mkuu ameshindwa uchaguzi na anayo haki ya kuchallenge matokeo mahakamani....
Angelinda tusingejua ujasiri wa huyu Mwanamke mwenzakoKwanini Mungu hakulinda kura zisiibiwe?
Hofu haitakwisha ndugu, vinginevyo tegemea kuzoea kulala sero, kulipa faini au vipigo kutoka kwa igp.Je,hofu itaisha lini baada ya kufanya hayoyote? Tunashindwa hata kuongerea siasa ama kumtaja mh. Unajikuta uunafatiliwa
Huyo anapenda Sana uongozi na anaumia Sana mpaka Sasa hajapata madaraka yoyote serikaliniUwezo wa kufikiri huyo dada ni mdogo sana! Anataka tu nuumb wajazani kwenye tweets zake ili aongeze followers kama alivyokuwa anafanya Mange! Lakini ni utopolo tu!
Sasa endelea kwa bidii hiyo hiyo kwa kumlaani baba yako na mama yako kutokuwa wazungu wakakuzaa mweusi ukawa kilaza! Ukawa intreahamwe Sasa unaabudu wazungu Kama huyo Lissu anavyojivunia beberu lake mzungu Amsterdam limtetee.Asante! , Namshukuru Mzee Sarungi kwa kutupatia damu ya Kizungu, ni damu zenye akili na Jasiri Itatusaidia kuliokoa Taifa hili....
Wanawake wachache Sana ambao ni majasili aiseeeMaria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima jitu litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition...