Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Hizo mahakama za ndani zina uhuru wa kutenda haki?
 
Mahakama za ndani kwani majaji huwa wanateuliwa na Nani?
Kulingana na Katiba yetu mahakama ni mhimili ulio huru japo majaji huteuliwa na kiongozi wa mhimili mwingine (Rais).
 
Huyo Maria Sarungi ni nani kwenye nchi hii?

Anajiona ni mtu muhimu sana anaeweza kusikilizwa na jumuia za kimataifa?
 
Kulingana na Katiba yetu mahakama ni mhimili ulio huru japo majaji huteuliwa na kiongozi wa mhimili mwingine (Rais).
Katiba ya chama kimoja hiyo, tume ya uchaguzi ikimtangaza Rais matokeo hayawezi kuhojiwa popote.

Kenya wangekuwa ni kondoo kama sisi wasingepata katiba mpya na Jaji adingeufuta ule uchaguzi.
 
Kuna receipt knowlegment statement lazima itolewe. Usifikiri risiti kama ya basi.
Huyo alikuwa anafagia fagia hapo nje sasa anajifanya kujua how ICC inavyofanya kazi. Alidhani ni risiti Kama ya ununuzi was bidh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marekani ipi unayo izungumzia wewe ya Biden au ya Trump
There is only one USA.

Kule Mapolisi haaajakimbia na maboksi ya kura, Amiri jeshi wao mkuu ameshindwa uchaguzi na anayo haki ya kuchallenge matokeo mahakamani.

Rais wa Marekani hana access na tume ya uchaguzi, na tume haingiliwi kwannamna yoyote ile.

Marekani hakuna RPC, wala IGP, kila jimbo Polisi wapo chini ya Gavana au meya inategemea na jimbo, hivyo Rais wa Marekani hana mamlaka ya kuwaamuru Polisi kukandamiza upinzani, ndio maana chama tawala ndio kinaandamana Marekani na ni haki yao ya kikatiba na kiraia kuandamana

Marekani imewafundisha kwa vitendo madikteta wote dunia jinsi uchaguzi wao unavyoendeshwa uwanja uko sawa kwa washindani na yeyote akishinda anatangazwa na kupewa nchi.
 
Ngoja tusubiri matokeo yake, kwani najua ICC huwa haifanyi kazi zake kwa maneno ya mitaani.
 
There is only one USA.

Kule Mapolisi haaajakimbia na maboksi ya kura, Amiri jeshi wao mkuu ameshindwa uchaguzi na anayo haki ya kuchallenge matokeo mahakamani....
Sawa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Marekani umeeleweka
 
Uwezo wa kufikiri huyo dada ni mdogo sana! Anataka tu nuumb wajazani kwenye tweets zake ili aongeze followers kama alivyokuwa anafanya Mange! Lakini ni utopolo tu!
Huyo anapenda Sana uongozi na anaumia Sana mpaka Sasa hajapata madaraka yoyote serikalini
Alisoma zanaki sec na alikuwa Dada mkuu enzi hizotangu O level mpaka akiwa form six
Na walimu walikuwa wanamtetemekea kisa mtoto was waziri
Sasa amekuja mtaani maisha ni tofauti
Hakuna uongozi
Kila mtuna time yake
Ki saikolojia anateseka Sana Sana
Anatamani hata apate cheo Cha uwaziri nadhani ndio atatulia
 
Asante! , Namshukuru Mzee Sarungi kwa kutupatia damu ya Kizungu, ni damu zenye akili na Jasiri Itatusaidia kuliokoa Taifa hili....
Sasa endelea kwa bidii hiyo hiyo kwa kumlaani baba yako na mama yako kutokuwa wazungu wakakuzaa mweusi ukawa kilaza! Ukawa intreahamwe Sasa unaabudu wazungu Kama huyo Lissu anavyojivunia beberu lake mzungu Amsterdam limtetee.
 
Back
Top Bottom