Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, huoni hapo rais anauwezo wa kuteuwa jaji atakaye kuwa ana obey matakwa yake kwa kulinda kibarua chake.Kulingana na Katiba yetu mahakama ni mhimili ulio huru japo majaji huteuliwa na kiongozi wa mhimili mwingine (Rais).
Sizijui, naomba nifahamishe.Unajua remedies against the government zipoje hapa Tanzania?
Katiba ndio tatizo hapo, sio mteuaji.Je, huoni hapo rais anauwezo wa kuteuwa jaji atakaye kuwa ana obey matakwa yake kwa kulinda kibarua chake.
Siku Rais anaongea na Majaji&wanasheria akawaambia kwny mihimili mitatu kuna mhimili mmoja uliojichimbia chini zaidi ya yote na mhimili huo ndio unatafuta hata pesa za kuendesha hizo mahakama hukumsikia mkuu?Kulingana na Katiba yetu mahakama ni mhimili ulio huru japo majaji huteuliwa na kiongozi wa mhimili mwingine (Rais).
Kimsingi huwezi kuisanction Government either way ndo maana hata kwenye Civil Procedure Code inakuelekeza kwamba huwezi ku attach Government properties, whatsoever wala huwezi kuilazimisha Serikali kitu chochote basically huwezi kuiwajibisha serikali kwa kutumia mahakama za ndaniSizijui, naomba nifahamishe.
Lakini suala la mahakama kuwa huru ni takwa la kikatiba mkuu.Siku Rais anaongea na Majaji&wanasheria akawaambia kwny mihimili mitatu kuna mhimili mmoja uliojichimbia chini zaidi ya yote na mhimili huo ndio unatafuta hata pesa za kuendesha hizo mahakama hukumsikia mkuu?
Petition imehujumiwa ile nilifungua nikakuta lugha imebadilikaMaria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima jitu litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition.
Kwani mambo mangapi ambayo ni matakwa ya kikatiba yamevurugwa kwny awamu hii mzee baba?...Lakini suala la mahakama kuwa huru ni takwa la kikatiba mkuu.
Usikute yuko zake anapiga OP zake ki-undercover tu mzee baba.
Hahah pengine ameshajijua yuko peke yake ndio maana muda mwingi siku hizi anakua kwny panic mode.inawezekana ila katumia akili sana,saiv watu wamemsahau na mabaya yake, jiwe atajikuta peke yake
petition imehujumiwa ile nilifungua nikakuta lugha imebadilika
Tunahitaji sana Iron Ladies hawa nchini kwetu.Maria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima jitu litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition...
Humu kuna mahakama? Huku kuna wala rushwa tuuKwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?
Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
"Mungu ibariki Chadema"Mungu amwepushe na mauaji
Kama unakiri Hilo kunahaja gani kusema majaji wanaweza kutenda haki?Katiba ndio tatizo hapo, sio mteuaji.
Wa Ethiopia ni wazungu ?