Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Harakati zina gharama kubwa, pole sana Maria.
Nina imani baba yako hadi mwisho wake alikuwa akijivunia wewe.
Kwanini mnacoment bila kusomaKwann hakwenda kwenye msiba
Maccm yanaona nchi ni mali yao hii.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
huyo bwege hawezi kuwa mtoto wa mzee mstaarabu km Prof. Sarungi. Litoto lidogo linamtukana Rais wa nchi yake? Babake alishawahi kumtukana nani? Akaozee huko Kenya, pumbavu.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
mamlaka au majambazi ya rasilimali za watanganyika fisiemuTujifunze kuheshimu mamlaka Ili tuishi kwa amani.
Nimeandika Kuheshimu sio kuogopa.
Tatizo ni pale mamlaka zinafanya mambo yanayofanya zisitishahili heshima! Wewe unaona kabisa mamlaka zinaiingilia kinyume cha maumbile nchi yako halafu utasema zinastahili kupewa heshima?Tujifunze kuheshimu mamlaka Ili tuishi kwa amani.
Nimeandika Kuheshimu sio kuogopa.
utaheshimu mamlaka isiyotenda haki?Tujifunze kuheshimu mamlaka Ili tuishi kwa amani.
Nimeandika Kuheshimu sio kuogopa.
acha uchawa ustaarabu ni tabia sio sura na sauti ya upoleProf. Sarungi hawezi kujivunia hiyo takataka, uliwahi kumsikia Profesa akimtukana mtu? Siasa ni matusi? Huyo haifai hata kuzaa naye ni laana. Na mamake akifa atakuja kumzika? Au? Unawezaje kumtukana Rais mama mstaarabu km SAMIA? Km siyo laana ni nini?