Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

Katekeleza maelekezo, Baba yake alimwambia hata akifa asikanyage kwenye mazishi yake
Screenshot_20250310-154002.jpg
 
huyo bwege hawezi kuwa mtoto wa mzee mstaarabu km Prof. Sarungi. Litoto lidogo linamtukana Rais wa nchi yake? Babake alishawahi kumtukana nani? Akaozee huko Kenya, pumbavu.
Sawa, kama baba yake alikuwa mtu mwema kwa Samia mbona huyo Samia hakuguswa na kifo chake? Shida ya Samia anataka kila mtu amuite mama. Yeye kila kitu utasikia ni hisani kutoka kwa mama. Upumbavu mtupu!
 
Sarungi hakuwahi patana na mwanae na siku zote aliumizwa sana juu ya tabia chafu za mwanaye alimuapiza asije kanyaga kwenye mazishi yake.
Na Samia naye aliapizwa? Ukweli ni kwamba Samia alikuwa na chuki na familia ya Sarungi kutokana na msimamo wa Maria. Yale yale ya Jiwe kuwa na chuki kwa familia ya Bulembo kisa Zitto kumtia mimba Halima mpaka akamuamuru amkane hadharani naye kwa ubwege wake akatii amri. Ulitaka na Sarungi afuate amri za Samia kwa mwanae? Siyo kila mtu ni bwege wa kuamrishwa na huyo mama au mtu yeyote.
 
Hofu yake ya bure kabisa angekuja kushiriki mazishi ya baba yake, hakuna mwenye habari naye na si hatari kwa usalama wa taifa letu,
#Maria njoo usihofu lolote!
---
Naomba to review mambo ambayo Maria anayaona ni ya hatari kwake, list down please!
--
--
--
--
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake

“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema

Yapi maoni yako

ila Mariya ni mzuri aisee hazeeki
 
Na Samia naye aliapizwa? Ukweli ni kwamba Samia alikuwa na chuki na familia ya Sarungi kutokana na msimamo wa Maria. Yale yale ya Jiwe kuwa na chuki kwa familia ya Bulembo kisa Zitto kumtia mimba Halima mpaka akamuamuru amkane hadharani naye kwa ubwege wake akatii amri. Ulitaka na Sarungi afuate amri za Samia kwa mwanae? Siyo kila mtu ni bwege wa kuamrishwa na huyo mama au mtu yeyote.
Naifahamu sana hiyo familia mkuu, siongei kishabiki…. Kuna tabia chafu chafu fulani hivi siwezi ziandika hapa maana huwa naheshimiana kwa namna fulani na Maria zilimkwaza sana huyo mzee hii ya uanaharakati ilikuja juzi tu…. Siongei kwa chuki na nampongeza pia kwa kufa na tai shingoni japo kapata hasara maana watanzania sio watu wakujitolea maisha yako kwaajili yao.
 
Back
Top Bottom