Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

4R hazimaanishi matusi, uchochezi na hata dalili za kuchochea machafuko ya kuasi mamlaka ya nchi. Tujifunze uhuru wa maoni wa kizalendo kujua hii ni nyumba yetu; hatupaswi kuibomoa🙏🙏🙏

Machafuko yanasababishwa na hao wanaobana haki za raia wenzao na kufikiri kuwa wao ndiyo zaidi ya binadamu wengine. Kama hakukuwa na tatizo kwa nini alikja na hizo 4Rs ....!!?
 
Naifahamu sana hiyo familia mkuu, siongei kishabiki…. Kuna tabia chafu chafu fulani hivi siwezi ziandika hapa maana huwa naheshimiana kwa namna fulani na Maria zilimkwaza sana huyo mzee hii ya uanaharakati ilikuja juzi tu…. Siongei kwa chuki na nampongeza pia kwa kufa na tai shingoni japo kapata hasara maana watanzania sio watu wakujitolea maisha yako kwaajili yao.
Wee nae ni muongo, tabia gani chafu hizo em zitaje hapa.
Na ukute huna hata unalolijua kuhusu hiyo familia, mxxxiiieeew

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Wee nae ni muongo, tabia gani chafu hizo em zitaje hapa.
Na ukute huna hata unalolijua kuhusu hiyo familia, mxxxiiieeew

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mimi nae muongo…. Kisha unataka nizitaje hizo tabia chafu chafu halafu ambazo huzijui Ila ushaniita muongo!! Hata kutema koozi au kutosalimia inaweza kuwa tabia chafu kwa baadhi ya watu!! Hii Nchi kuna shida sana ya fikra!
 
Naifahamu sana hiyo familia mkuu, siongei kishabiki…. Kuna tabia chafu chafu fulani hivi siwezi ziandika hapa maana huwa naheshimiana kwa namna fulani na Maria zilimkwaza sana huyo mzee hii ya uanaharakati ilikuja juzi tu…. Siongei kwa chuki na nampongeza pia kwa kufa na tai shingoni japo kapata hasara maana watanzania sio watu wakujitolea maisha yako kwaajili yao.
Liwe liwalo Sarungi hawezi kumkana mwanae kisa tu ishu za kupakazana.
Sarungi kama hujui aliishia kuwa masikini na Maria ndiye alikuwa anampa huduma zote.

Kisa cha Maria kutokuja Tanzania ni Samia na kwa hili Samia nimezidi kumuona hafai. Sarungi alikuwa mtumishi wa umma kwa miaka mingi. Unashindwa vipi kutambua kifo chake?

Sarungi hakuwahi kuhasi CCM kama kina Sumaye na Lowassa, mbona wao wanaheshimika licha ya kutaka CCM ianguke mwaka 2015? Samia kilichomkaa kooni ni chuki na kilichomshinda Maria kuja ni ishu za usalama!

Yule ameshaandaliwa mpaka mashtaka. Unataka aje ili ashikiliwe mahabusu bila dhamana kama walivyofanyiwa wengine?
 
Attachments

  • 20240902_124834.jpg
    20240902_124834.jpg
    71.7 KB · Views: 1
Katekeleza maelekezo, Baba yake alimwambia hata akifa asikanyage kwenye mazishi yake
Mkuu umetoa siri.....wengi tulikuwa hatuijui hiii..Tulikuwa tunajiuliza, amefanya nini huyu Dada, mpaka anaogopa kurudi? Mbona Tndu, Lema wamerudi, na walikuwa wanatoa maneno makali zaidi kuliko yeye ambae hatujawahi hata kusikia maneno yake?
 
huyo bwege hawezi kuwa mtoto wa mzee mstaarabu km Prof. Sarungi. Litoto lidogo linamtukana Rais wa nchi yake? Babake alishawahi kumtukana nani? Akaozee huko Kenya, pumbavu.
weka hapa hayo matusi aliyomtukana rais vinginevyo fals tu wewe
 
Huwa mnasema hivyo ila akishadhurika mnakuja na kauli nyingine ya kajitakia au kajiteka.
Mbona boss wenu "tal" yupo anadunda TU na hajadhuriwa..mkuu trust me huyu Wala hafiki hata ⅒ ya madhara ya TAL..TAL madhara yake ni makubwa na Wala hafanywi kitu..4R za mama ni matumaini kwa watz
 
huyo bwege hawezi kuwa mtoto wa mzee mstaarabu km Prof. Sarungi. Litoto lidogo linamtukana Rais wa nchi yake? Babake alishawahi kumtukana nani? Akaozee huko Kenya, pumbavu.
Sio kila mtu ni chawa kama wewe unayetegemea hisani ya Ikulu kuishi.
 
Nikajua kwa sasa mambo mswano uhuru tele mpaka pomoni,

Kumbe bado kuna wasioweza kuja home kisa usalama wao!
Mkuu nawe usipotezwe kirahisi, serikali gani yenye habari na haka kamaria?!!! Wakimtaka si yupo Kenya tu hapa wanampigia tukio Moja la kimataifa basi, anajistukia tu baada ya Kila porojo yake kufeli. Ile movie yake ya kutekwa ilivyobuma vibaya ndo anazidi kuona aibu.
 
huyo bwege hawezi kuwa mtoto wa mzee mstaarabu km Prof. Sarungi. Litoto lidogo linamtukana Rais wa nchi yake? Babake alishawahi kumtukana nani? Akaozee huko Kenya, pumbavu.
Inaelekea pumbavu ni wewe, au hakuna link kati ya vidole na fahamu?
 
Back
Top Bottom