Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Huyo ni baba ake mazazi, si bosi wa kike. Last thing baba yoyote duniani, hajali nini mtotowake anafanya huko nje, tena mtoto mtu mzima.Prof. Sarungi hawezi kujivunia hiyo takataka, uliwahi kumsikia Profesa akimtukana mtu? Siasa ni matusi? Huyo haifai hata kuzaa naye ni laana. Na mamake akifa atakuja kumzika? Au? Unawezaje kumtukana Rais mama mstaarabu km SAMIA? Km siyo laana ni nini?
Always ana nafasi kwenye moyo wake, kwa hiyo maneneo yako ni irrelevant
