Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Comment kama hizi ndio muhimu kwenye hii habari
 
labda umwambie wewe popoma mwenzake atakuelewa.

jeshi lina miiko yake,na moja wapo ni kuacha kutamka hadharani kwamba wanamtii mh amiri jeshi, na wanahudumia watanzania wakati wa amani na vita.lazima watamke.
Vipi mbona una wasiwasi wa nyani? kwani haujawahi kushuhudia gwaride la utiifu mbele ya amiri jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Tulieni nyonyoma yajayo yanafurahisha
 
Ikawaje tukaambiwa rais ni mzima, anachapa kazi na anatusalimia?

Unakumbuka tangazo la msiba limetoka lini?
 
Vipi mbona una wasiwasi wa nyani? kwani haujawahi kushuhudia gwaride la utiifu mbele ya amiri jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Tulieni nyonyoma yajayo yanafurahisha

cdf ni chaguo la magufuli
samia chaguo la mufuli

sijui wa kutulia ni ant magufuli au pro magufuli???
 
Ndio ana haki ya mawazo na maoni ni vioe tu kaamua kuyaweka hadharani na ni vile ni tu ni mtu anayefatiliwa na watu wengi kama kufurahi wengi wamefurahi hata mimi nimefurahi, ila mkosoe hata mara elfu 1000 kama mtu mwingine ila usiingize uanamke wake na kumdhalilisha na kumtusi kwa hilo, ulichofanya ni udhalilishaji wa kijinsia ndani ya mawazo na maoni yako huru
Sio shida kukosoa, kosoa unavyotaka ila uache udhalilishaji wa kijinsia. Ni hilo tu
 
wapi nimeshalilusha jinsia yake!???

kuuliza kama anakosa mti!!!huu sio udhalilishaji ni maoni pia.
 
Kelele za chura zimeanza😅😅😅

Rest well our hero President John Pombe Magufuli

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
 
labda umwambie wewe popoma mwenzake atakuelewa.

jeshi lina miiko yake,na moja wapo ni kuacha kutamka hadharani kwamba wanamtii mh amiri jeshi, na wanahudumia watanzania wakati wa amani na vita.lazima watamke.

Neno popoma lina maana gani Ndugu?
 
Una point ya msingi, nilikua najiuliza mbona yule mjeda yuko karibu sana na rais na sio kawaida kuwa na adc na body guard wa rais na mjeda mwingine...
Ok
 
Alikuwa anawakumbusha mnaopenda kubeza watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…