Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Besigye aliweza kufikishwa Kampala.. Maria imeshindikana
Ukaribu wa dikteta na bwana kasongo ulisaidia kurahisisha mambo, Basigye akanyanyuliwa mzobe mzobe bila kujali kelele za yeyote.

Bimdashi nae akataka kumuiga tembo kuny.a matokeo yake....
 
Kuwaambia kuwa nyie Bado saaaana kuchukua nchi ndo upumbavu?!!! Sasa nchi hiyo achukue nani, lissu au mbowe?!!!!!!
Hoja kuchukua nchi au hoja zenu za kipumbavu? Piganieni tume huru ya uchaguzi na katiba mpya msiibe kura kama uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita, msiandikishe watoto na wafu halafu uje na hoja zako.

Kabla ya hapo utakuwa unaongoza kwa hoja za kipumbavu
 
Hawa wa sasa Wanaotekwa na kuuawa wanafanyiwa hvy na JPM kwa njia ya online akiwa kaburini au?

Mkuu mbona vitu vidogo unashindwa kuving'amua? Kwani Maria au Sativa anamsema JPM? Sativa si alisupport mgomo wa wamachinga k/koo? Alivyotekwa Nondo si walimwambia aache KAMDOMO?
 
Bado hoja ya kipumbavu, kati ya wote ambao walitekwa wakati wa utawala wa JPM ni yupi ambaye serikali yake ilifanya uchunguzi kujua nini kilichotokea? Ushahidi kitabu cha Eric Kabendera kuwa JPM alimbangua risasi ya kichwa, kama unabisha tuambie Ben Saanane yuko wapi?

Marejeo ya mambo yanayoendelea sasa yanarelate vipi kumsafisha muuaji JPM?
Kamuulize mama yako mkuu atakueleza vizuri Ben aliko!
 
Bado haibadilishi upumbavu uliokujaaa, wewe beba mimba ya mumeo lakini JPM alikuwa muuaji, nijibu Ben Saanane yuko wapi? Au na wewe ulikuwa kimada wa JPM?

Nashangaa wanaomtetea JPM ,JIWE alifanya ufirauni mwingi.....inasikitisha mtu kuchallenge elimu then unamtoa roho ,mbona aliwaita watoto wa watu ni VILAZA?
 
Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye alidaiwa kutekwa leo nchini Kenya, amepatikana huku akiahidi kuzungumza zaidi kesho baada ya kutulia.

Taarifa ya kutekwa kwa Maria ilitolewa leo Jumapili Januari 12, 2025 na taasisi ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu ikisema: “Maria Sarungi Tsehai, mhariri huru wa vyombo vya habari nchini Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, ametekwa nyara na watu watatu wenye silaha katika eneo la Chaka, Kilimani jijini Nairobi.”

Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Katika video fupi iliyochapishwa katika ukurasa wa X (zamani Twitter) wa Faith Odhiambo ambaye pia ni rais wa 51 wa Chama cha Wanasheria Kenya (LSK) imemuonesha Maria akiwa na Faith pamoja na watu wengine, huku Maria akiahidi kuzungumza kesho.

“Asanteni sana, nipo salama, Mungu ni mwema. Kesho nitachukua muda, nitaongea,niwashukuru Wakenya, Watanzania na watu wote wa kimataifa..Kwa sababu leo nimeokolewa,”amesema Maria

 
Kenya kuna majambazi sana, hasa wakati ule wa vurugu za serikali ya Ruto na Gen Z kuhusu budget iliyoongeza kodi zaidi, hali ya Kenya ilikuwa mbaya.
 
Back
Top Bottom