Maria Sarungi ni nani?

Hahaha yaani comedy kabisa walahi
 
Inabidi hadi mzinduke au mzinduliwe kwa kweli; hivi kweli kabisa bado mnaamini Lowassa ndio alikuwa chaguo sahihi. Mtalaumu watu wote wengine duniani isipokuwa nyinyi wenyewe. Ni muhimu kuanza kuwajibika kwa maamuzi yenu wenyewe!
Lowasa kutokuwa sahihi haimaanishi huyu tuliyenae ni chaguo sahihi.Kila mmoja anabeba msalaba wake.Period!!.
 
It hurts to read from this man. Very very painful.
 
Nilipanda naye KQ siku moja to Nairob kampani yetu ilishoboka kumuongelesha wakat tupo kwenye shuttle la airport ya JKIA alileta pozi za ajabu hawa watu in real life ni wanafiki sio wanaharakati
Unalolisema ni kweli niliwahi kukutana nae sehemu flan kwenye viunga vya jijini tukiwa na seminar moja hv.. Akaleta pozi flan hv wakati kwenye mitandao huwa tunawasiliana sana... In real life anajikuta godwalking on earth
 
Pozi au hakushoboka na wewe .,usimind mkuu
 
Unalolisema ni kweli niliwahi kukutana nae sehemu flan kwenye viunga vya jijini tukiwa na seminar moja hv.. Akaleta pozi flan hv wakati kwenye mitandao huwa tunawasiliana sana... In real life anajikuta godwalking on earth
ndo uache kushobokea ma-celebrity wa bogno ipo siku utaumbuka peupe
 
Watoto wa miaka ya 2000 mnashida.....huyo mtoto wa mwanasiasa mkongwe aliyeshika nyadhifa mbali mbali serikalini hapa Tanzania..... Mtoto wa professor Philemon Sarungi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unamjua Sarungi kama Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, sisi tunamjua kama Daktari Bingwa wa Mifupa na Waziri wa Afya enzi za Ben Mkapa, upo?
Zamani nilisikia kisa kua Prof Sarungi alimfanyia upasuaji mchezaji flani either wa Simba au yanga ambaye iliaminika asingepona baada ya kuvunjika. Mwemye kumbukumbu sahihi anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…