Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

Tanzania ni nchi dhaifu sana na yenye wananchi dhaifu
 
Tangu mchango wa kwanza hapa nasisisitiza matumizi ya logic, Polepole ametekwa Mdude style, kwa vile Polepole ana hadhi fulani, tuombe Mungu waingie huruma wasimpeleke walipompeleka Mdude Β‘.
Logic logic logic
P
Inasikitisha sana. Maumivu wanayopitishwa watu hawa tena na binadamu wenzao kisa kuwa Wakweli na Wazalendo kwa nchi yao.
 
Naunga mkono hoja
 
Hata mimi nahisi wanajeshi pia wanahusika na hili
Mnasema kuna wanajeshi, polisi, usalama na vyombo vingine vinawaunga mkono, mnafeli wapi kumkomboa Polepole. Kama mission ndogo ya kumkomboa mateka mmoja inawashinda, mtawezaje kuongoza maandamano ya kuangusha na ku replace serikali iliyopo?
 
Wabongo bhana πŸ˜‚ Ety hatuwezi kutaja location mana haitosaidia πŸ˜‚

Sasa mnalalamika nn wangese nyie kmmae zenu
 
Zimebaki siku 21 wakulungwa.
ingieni mtaani na msilaumu chochote baadae.
Wenzenu wana magwanda,nyie mna nini?
By the way sipo chama chochote nawaonea imani tu.
Kwa mambo corrupt nyie mna nini la kufanya.
Komazeni shingo badae majuto ni mjukuu.
Msiseme hatukuwaambia
 
Sasa sikia we chawa....mwambia mamako amuue si yupo naye.
Mama yangu alifariki 2003, samia sio mama yangu wala hawezi kujaribu kuwa mama yangu.

Kwahy mnasubiri ifike 29 October ndo muandamane πŸ˜‚

Atauawa kama hao wngn na huna la kuwafanya, sisemi haya kwa furaha ila huo ndio ukweli mana wabongo ni ma-keyboard fighters
 
Sasa kiherehere cha nini? Subiri 29th October
 
Sawa kiongozi wa Keyboard fighters group πŸ˜‚
Wewe ni nani? Utakuwa Inzi wa kijani kwenye mavi. Mwambie mamako hivi safari hii hachomoki na WASITHUBUTU kumuua Polepole.
 
Wewe ni nani? Utakuwa Inzi wa kijani kwenye mavi. Mwambie mamako hivi safari hii hachomoki na WASITHUBUTU kumuua Polepole.
Sawa keyboard warriors πŸ˜‚
Kwa kupiga domo mko vzr sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…