Leo umeongea point. 100% true. Habari za huyu dada nyingi ni za kishabikuna na kitoto. Hachuji kitu. Anapenda awe wa mwanzo kutoa information hata kama za kijinga. Wanachanganya sana watu kwa style hii.Kunapotokea matukio hatarishi kama haya, sii burasa kuchapisha habari za kubuni za kuokota okota, kwa jinsi alivyotekwa ni Mdude style, wampeleke visiwa vya Comoros for what?, logic inagoma, kitu cha kufanya ni kunuomba tuu Mungu, waingie utu na huruma, awe hai!.
Mimi kwa upande wangu naendelea kuwasisitizia
Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.
Lakini kama ni wale wasiojulikana 'wasiojulikana', then tunawaomba kwa kuwashauri, mfanyieni tuu mohojiano kwa njia za kawaida za majojiano, kama akikutikana na hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye kujijua, mkajikuta badala ya kumsaidia, mkamponza, Mzee Karma akamshukia kama mlivyomponza yule mtangulizi wake!. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
Ni ushauri tuu!.
P
Akili ya kawaida haikubaliani na hilo kuficha location.Yani mna location halafu hamtaki kuitoa?
Kwa faida ya nani?
Na mimi nilishaona huu ama ni uongo ama ujinga.Akili ya kawaida haikubaliani na hilo kuficha location.
Labda aliyetoa taarifa awe ndiye mtekaji mwenyewe.
Unahisi awajulikani?Kunapotokea matukio hatarishi kama haya, sii burasa kuchapisha habari za kubuni za kuokota okota, kwa jinsi alivyotekwa ni Mdude style, wampeleke visiwa vya Comoros for what?, logic inagoma, kitu cha kufanya ni kunuomba tuu Mungu, waingie utu na huruma, awe hai!.
Mimi kwa upande wangu naendelea kuwasisitizia
Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.
Lakini kama ni wale wasiojulikana 'wasiojulikana', then tunawaomba kwa kuwashauri, mfanyieni tuu mohojiano kwa njia za kawaida za majojiano, kama akikutikana na hatia mfikisheni kwenye vyombo vya sheria, msiimwage bure damu yake, mtajikuta mnaponza bure bosi wenu bila ya nyinyi kujijua na yeye kujijua, mkajikuta badala ya kumsaidia, mkamponza, Mzee Karma akamshukia kama mlivyomponza yule mtangulizi wake!. Thread 'Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!' Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!
Ni ushauri tuu!.
P
Mimi ni raia mwema wa nchi yangu, natii sheria bila shuruti.Unahisi awajulikani?
Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.
Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu
Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means ālet the master answer.ā Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.
Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.
Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"
Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.
Paskali
Wanasema kina nani?Mnasema kuna wanajeshi, polisi, usalama na vyombo vingine vinawaunga mkono, mnafeli wapi kumkomboa Polepole. Kama mission ndogo ya kumkomboa mateka mmoja inawashinda, mtawezaje kuongoza maandamano ya kuangusha na ku replace serikali iliyopo?
29october mwisho ya yote utaniambiaMnasema kuna wanajeshi, polisi, usalama na vyombo vingine vinawaunga mkono, mnafeli wapi kumkomboa Polepole. Kama mission ndogo ya kumkomboa mateka mmoja inawashinda, mtawezaje kuongoza maandamano ya kuangusha na ku replace serikali iliyopo?
Kama wanajulikana, kwa nini wanaowajua wasiwashughulikie?Unahisi awajulikani?
Acha uongoo wee Mwachi, mjeda fake.Ukitaka kujua hili jambo lipo mtandaoni tu mtaana halipo kabisa nenda mtaani ndio utajua kama hili jambo watu halija wagusa watu wana endelea na habari zao wala hawaangaiki na llote lile
Hivi unajua wote wanaopiga makelele humu ni wa mikoani, maporini au vijijini, maana huko ni kimyaaaaa...Acha uongoo wee Mwachi, mjeda fake.
Umekuaje siku hizi wee? Mxxxiiiieeeeeww.
Hiyo itakuwa ni disinformation inayotolewa kwa makusudi maalumu na wauaji wake.Bado siamini kabisa kama Polepole katekwa ila unyama huu wanaoendelea kuufanya hawa watu ipo siku yao inakuja kabisa na wao watalia na kusaga meno. Utawala unamwisho wake
=====================
Mdau amenisukumia taarifa hii na ni mtu mwenye taarifa za kuaminika ila sijathibitisha na independent source zingine Ila kwa mujibu wa mdau wetu kwa sasa Bashite kaja front tena na ndo maana kila mahali yupo na Mama yao na anategemewa kwenye ukatili!
Wamepanga kwa sasa kumsafirisha nje ya nchi na wanampeleka Comoros ambapo mdau anasema wapo wengine kutoka Zanzibar huko!
Anadai mdau kuwa wameamua hawamwui Polepole kwa sasa na wamesema kwa dharau āwatanzania si watu wa vitendo ni keleleā ila ni kama kumwua wameona ni mapema!
Mdau ana uchungu sana na Bashite na amesema huyu mtu amefanya mengi na anahusika tokea wakati wa Magufuli kufanya ukatili! Of course hii si habari mpya!
Soma Pia: Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
Polepole is ALIVE hii ni šÆna amehifadhiwa safe house moja wanapohifadhi maVIP (this is confirmed by 3 different sources) ! Shida hata tukiweka location hatasaidika š - tutaishia kuweka viemoji vya kulia š tu - so sad!
Leo marafiki na colleagues wake Polepole kimyaa na wako ktk mfumo! Mungu anajua
But ushauri kwako
View attachment 3485643
With all due respect; Watu wa mtandaoni wanaishi wapi?Ukitaka kujua hili jambo lipo mtandaoni tu mtaana halipo kabisa nenda mtaani ndio utajua kama hili jambo watu halija wagusa watu wana endelea na habari zao wala hawaangaiki na llote lile
Niliko kuwepo huku habari ni kuhusu kutekwa kwa pole pole, hadi wabibi wanajadili.Hivi unajua wote wanaopiga makelele humu ni wa mikoani, maporini au vijijini, maana huko ni kimyaaaaa...
Hebu wewe tuambie unaishi wapi tukudadavue...
Hapa Dar, ni shwariiii, ukienda Kariakoo ni makelele ya wamachinga, Buku Buku Buku...
Ukija Ilala, watu watu jioni wanaenda kwenye mishkaki na Chips na familia zao...
Ukija Sinza na Kino, watu wanatumia hela zao ziwazoeee...
Labda huko Kimara kwa wachaga, ndio unaweza kusikia fununu maana wale ni walevi sugu, pombe haikai kichwani....
Wanawajua ila wanatuchukulia poa, ushamba kuua mtu kisa mmekosana kimawazo au picha tu kama chaulaKama wanajulikana, kwa nini wanaowajua wasiwashughulikie?
Wanajuana wenyewe kwa wenyewe.
Maisha ya mitandaoni yanaweza kukufanya ukaamini huo ndio uhalisia wa maisha...Niliko kuwepo huku habari ni kuhusu kutekwa kwa pole pole, hadi wabibi wanajadili.
Niko uraiani au mtaani.
PerfectMaria Sarungi sijui kama anajua kuwa anatumiwa indirectly,
Misinformation nyingi anatupiwa ili atuingize maboya halafu ajenda ya watesi ifanikiwe!
Hakuna mistake mbaya kama kutamka status y mtu kuwa yuko hai wakati hujui kama yuko hai, Maana kitendo cha kusema yuko hai unwapa watu hope hewa na kuwaondolea watesi pressure na hasira ya umma.
Bora ustick kwenye kutekwa tu,mambo ya kudai yuko hai usiyaseme!