Ateuliwe na wauaji na madhulumati wakubwa wa haki za binadamu, halafu utegemee kuona uadilifu!! Lazima huyu atakuwa ni muuaji na mtekaji mwenzao. Ndege wa aina moja huruka pamoja.Awe Mwisilamu au Mkatoliki, au mgogo sisi wananchi tunachotaka atufanyie kazi kwa uadilifu tu.
Mjomba anasepa zake na kijiji 😂🙌.Kuna mjomba wa kikurya, yeye hapa mtaani kazi yake kubwa ni kuchambua wanasiasa na kupiga ramli chonganishi, na ukimuuliza maswali hana majibu wala hawezi kujieleza. Ni wale walio kama nyumbu wa Dada Mange kasema. Na bado utakuta na yeye anajikuta ni mtu smart kuliko waliopo CCM wakati bichwa lake linasubiri Maria au Mange aseme kitu na lenyewe lije ku share ujinga na wanakijiji wenzake.
Kikwete na mama haviivi. Waingereza wasema: 'There is no honour among thieves'Huyu jamaa ana miaka 37 aisee nimecheka Sana baada ya kusikitika
Imagine katiba imevunjwa wazi wazi
Kikwete na genge lake wanakenua meno tu
Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Hako kamalaya kamesoma na dada yangu zanaki, na kalikuwa kakilaza mwanzo mwisho,Mama wa Maria ni raia wa Hungary kwahiyo Maria sio mtanzania? Mtoto hujitambulisha kupitia upande wa baba au mama? Kama Ndejembi ni Mzanzibari inawasaidiaje CHADEMA kutoka kwenye mkwamo mkubwa walio nao? Kwanini CHADEMA wasiiache CCM izidi kukosea ili wao wachukue nafasi yao badala ya kushinikiza CCM ifanye maamuzi sahihi ya kukijenga zaidi?
Hii ishu wanaharakati wanaichukulia poa ila ikinuka kuirejesha nchi katika mstari itakua jambo gumu kama ilivyo Nigeria leo.Ila hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Mzungu wa Kongwa, Dodoma. Una swali jingine? Karibu.Wewe acha kufunga watu kamba, mama yake ni mzungu wa wapi wa Pemba..!!!!
Ndiyo maana mimi husema wanaharakati wauaweHii ishu wanaharakati wanaichukulia poa ila ikinuka kuirejesha nchi katika mstari itakua jambo gumu kama ilivyo Nigeria leo.
Huyo Maria kama umewahi ku engage naye kule Twitter, ungemchapa hoja kama hiyo basi ungeshakuwa blocked.
Naona mnatambiana lakini nyote hatuwajui sasa tutaamini vipi kama mna hela kweli?Kama maisha yangu ni mazuri kukuzidi maana yake wewe ndio mpumbavu umeshindwa kushinda changamoto zako kimaisha halafu unakuja kufa huku hukufurahia maisha yako.
Binadamu mwenye akili ni yule aleweza kuisha bora, sasa wewe unaganga njaa akili utaitoa wapi ya kunizidi
Magufuli walisema ni mrundi, binadamu bhanaSiku na wewe ukipata cheo kikubwa au umaarufu usishangae kuzushiwa jambo lolote lile zuri au baya.
Si ajabu ukaambiwa umebadili jinsia
Wanadamu wengi ni ******* sana, nafsi hazitulii bila kuzusha jambo.
Inshu ya uzanzibar Haina udini kaka, ukiwa Zanzibar wao wanacho jua ni kua chogo ni mtu yoyote mbara si MKRISTO Wala muislamu ukiwa mbara wengi chogo udini ni propaganda tu ya wazenji kujifichiamo mi ni muislamu mbona bado mnatuangalia Kwa macho ya chini niliwahi mwambia rafiki yangu shamira ya Mimi kushika site mahala akaniangalia macho ya chini eti si uende huko kwenu ,kha kwani wazenji hawamiliki site bara? Na anajua mi muislamu mwenzakeHiizi kelele, fitna, uzushi, na propaganda zina msukumo wa chuki dhidi ya Uislam na Waislam. Na hata hili la "uzanzibari" ni pazia la kufunika chuki dhidi ya Uislam na Waislam, pazia ambalo linatumika ili Waislam wasielewe. Lakini hii ni Chuki dhidi ya Uislam na Waislam inayofichwa nyuma ya kupigania "utanganyika" na kuupinga "uzanzibari". Na wakati mwengine chuki hii hushindwa kuificha, wakaidhihirisha.
Tuheshimu Katiba ya MuunganoHata Uzanzibari na Utanganyika sio sawa unless tuvunje kwanza Muungano
Sasa akiwa mrundi tatizo nini ?Magufuli walisema ni mrundi, binadamu bhana
Inshu ya uzanzibar Haina udini kaka, ukiwa Zanzibar wao wanacho jua ni kua chogo ni mtu yoyote mbara si MKRISTO Wala muislamu ukiwa mbara wengi chogo udini ni propaganda tu ya wazenji kujifichiamo mi ni muislamu mbona bado mnatuangalia Kwa macho ya chini niliwahi mwambia rafiki yangu shamira ya Mimi kushika site mahala akaniangalia macho ya chini eti si uende huko kwenu ,kha kwani wazenji hawamiliki site bara? Na anajua mi muislamu mwenzake
UnaogopaIla hili Suala la udini sio zuri. Tungestick na Uzanzibari ila tukianza ni mwislamu tutaharibu. Italeta issue ya udini.
Nigeria wanaosumbua ni wale wanaoitwa waislamu wenye msimamo mkali ambao kwa akili yao finyu wanafikiri kila mtu anaweza kuwa muislamu. Bure kabisa.Hii ishu wanaharakati wanaichukulia poa ila ikinuka kuirejesha nchi katika mstari itakua jambo gumu kama ilivyo Nigeria leo.
Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anabisha kwamba Ndejembi siyo MPEMBA?‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️
Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London?
Eh watu mna siri!
Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni
Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu:
👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila alilelewa na Mzee kwani mama yake Deo ambaye ni mpemba alimtelekeza na baba yake alifariki
👉🏽Deo alikuwa mkatoliki ila alisilimu huko UK na hadi wanadai alipoungana na mama yake alichukua uraia wa Uingereza
👉🏽 Hajatimiza hata miaka 40 ila wamefoji awe 43 aweze kukidhi kikatiba umri
Mengine tutayafanyia kazi
Mambo ni mengi ila kweli Deo ana damu ya kizanzibari kwa upande wa Mama yake na wazanzibari wanajua fika sema wametukalia kimya tena! Watanganyika nimewavulia kofia mlimtambua kuwa ana uzanzibari mi sikuwaamini 🙌🏽