Maria Tsehai acha upotoshaji kusema Lissu hajalipwa stahiki zake ili achangiwe kununua V8, VXR nyingine

Mtoq mada tunashukuru kwa taarifa ngoja tuanze kujiandaa mkeka ukiwekwa tu tuchote baraka kwa kuchanga kwa mtu aliyepitia mateso na tuendelee kuwaaibisha watesi wake
 
Kama mimi ningekuwa mjinga kama mleta uzi,nisingeleta tena uzi mwingine. Ukiuachia ujinga wako watu wauone,haya ndiyo matokeo yake.Chuki imekujaa mwili mzima hadi kwenye matundu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™
 
Nyinyi mkawanunulia wakuu wa wilaya na mikoa fresh wakati kuna magari kibao Tamesa hapo hayatumiki Acha wivu kijana huyu Lisu ndio kitu tunajivunia hata akitaka ndege tunachanga nakumnunulia,mbona tunatoa kodi zetu na mnazitapanya kwa anasa tukilalamika mnatuona miyeyusho tena hata hela zetu binafsi mnazitaka pia kuweni na kiasi machawa
 
wanatafta namna ya kupenyeza pesa za mabwenyenye yanayo mfadhili sio zipitie aliko huyo mbibi ๐Ÿ’
 
Wala usihofu tutachanga TUUU. Acha roho mbaya Ni zambi
 
Nakumbuka Lissu akiwa nairobi nilichanga 400k na nilikuwa na shida kama zote lakini nilipotoa ile nilijihisi faraja na amani moyoni, alipokuwa kule Leeuven Belgium nikatoa 550k 267k nilipewa na wadau, sasa kwenye huu mchango wa gari sina kitu ila 210k j3 asubihi na mapema NAOMBA ASINIPANGIE MTU matumizi nyambaafu
 
Sasa kumchangia LISU na kumnunulia DC V8 Ili arahisishe wizi wa kura za ccm kipi bora kwako mma samia
 
Huyo ni tapeli wa siasa we jiulize tu kibunda cha join the chain kilienda wapi
 
Kwahiyo kama CCM wanafanya mambo ya kijinga inahalalisha na nyie kufanya upuuzi? Tukiwaita CCM B mnakasirika
 
Kwahiyo kama CCM wanafanya mambo ya kijinga inahalalisha na nyie kufanya upuuzi? Tukiwaita CCM B mnakasirika
Unaposema 'nyie.....' unamaanisha sisi CHADEMA bila shaka! Nadhani utakuwa hauko sahihi. Kwa sababu ni Mtanganyika tu Mzalendo. Na si mwanachama au kada wa chama chochote kile cha kisiasa.

Ila nimeshangazwa tu na nanma ulivyoumizwa na kushikwa na uchungu wa ajabu juu ya hiyo taarifa ya kumhusu Tundu Lissu.
 
Hata Yesu alikanwa na Petro kwenye nyakati ngumu... kwahiyo wewe kuikana CHADEMA kwenye huu upuuzi wao ni jambo la kawaida. Mtu asiye na chama ni MNAFIKI. Wewe Tate mkuu ni miongoni mwao.
 
NIMEONA MSG IMETUMWA MPAKA TLS
KWA KWELI SISI WANATANZANIA NI NYUMBU WA AJABU.
MTU ANASOMESHA WATOTO USA ,LEO ANATAKA MIACHANGO YA WALALA HOI WANAKULA MLO MMOJA
 
Afrika ngumu sana, kuna wakati unawaona wanasiasa wote ni wabinafsi tu
 

Mkuu hao wanaokwenda kuchota mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif huna na shuhuli nao gani? Hio ishu ipo mda sasa
 
๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ
 
Mlifanikiwa kununua gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ