PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Mtoa mada una roho ya kimasikini kwelikweli....unazuia Hadi sadaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi mkawanunulia wakuu wa wilaya na mikoa fresh wakati kuna magari kibao Tamesa hapo hayatumiki Acha wivu kijana huyu Lisu ndio kitu tunajivunia hata akitaka ndege tunachanga nakumnunulia,mbona tunatoa kodi zetu na mnazitapanya kwa anasa tukilalamika mnatuona miyeyusho tena hata hela zetu binafsi mnazitaka pia kuweni na kiasi machawaNimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake zote na serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama Samia. Soma uzi huo hapo.
- Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli
Kusema kwamba Lissu anakodisha gari kwa pesa nyingi ni uhuni mwingine wa CHADEMA chini ya Mbowe. Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kukosa gari la kupewa na chama ni aibu isiyoelezeka. Michango ya Join The Chain ingetosha kununua gari la kiongozi kama Lissu. Mbowe anafakamia ruzuku kumbe kiongozi wake anakodi gari kwa pesa nyingi. Yale magari ya M4C huwa yana kazi gani kama Lissu hana gari. Au Lissu alikataa double cabin akataka LC300?
Ninawasihi watanzania msiingie kwenye huo uhuni wa kuchangia mambo ya kipuuzi. Lissu ni tajiri anayeweza kumudu kusomesha watoto Marekani na kuwahudumia kwahiyo hashindwi kujinunulia hata Prado ya 50m. Pia kama Mbowe aliweza kuchangisha zaidi ya Tsh 400m kumnunulia gari la kifahari Askofu wa chama chake hashindwi kukusanya matajiri wenzake na kuwachangisha 400m kumnunulia Lissu gari la kifahari baada ya kusumbua nyumbu wenye hali ngumu kimaisha.
Kwenye maandamano yenu mmekuwa mkiongelea ugumu wa maisha sasa inakuwaje mnataka kuwakamua tena wananchi hela zao kidogo ili kumfurahisha Lissu kwa gari la anasa? Nyie mkiingia madarakani mtakuwa wabaya mara 10 ya CCM mnaotulaumu.
View attachment 2992838
wanatafta namna ya kupenyeza pesa za mabwenyenye yanayo mfadhili sio zipitie aliko huyo mbibi 🐒Nimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake zote na serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama Samia. Soma uzi huo hapo.
- Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli
Kusema kwamba Lissu anakodisha gari kwa pesa nyingi ni uhuni mwingine wa CHADEMA chini ya Mbowe. Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kukosa gari la kupewa na chama ni aibu isiyoelezeka. Michango ya Join The Chain ingetosha kununua gari la kiongozi kama Lissu. Mbowe anafakamia ruzuku kumbe kiongozi wake anakodi gari kwa pesa nyingi. Yale magari ya M4C huwa yana kazi gani kama Lissu hana gari. Au Lissu alikataa double cabin akataka LC300?
Ninawasihi watanzania msiingie kwenye huo uhuni wa kuchangia mambo ya kipuuzi. Lissu ni tajiri anayeweza kumudu kusomesha watoto Marekani na kuwahudumia kwahiyo hashindwi kujinunulia hata Prado ya 50m. Pia kama Mbowe aliweza kuchangisha zaidi ya Tsh 400m kumnunulia gari la kifahari Askofu wa chama chake hashindwi kukusanya matajiri wenzake na kuwachangisha 400m kumnunulia Lissu gari la kifahari baada ya kusumbua nyumbu wenye hali ngumu kimaisha.
Kwenye maandamano yenu mmekuwa mkiongelea ugumu wa maisha sasa inakuwaje mnataka kuwakamua tena wananchi hela zao kidogo ili kumfurahisha Lissu kwa gari la anasa? Nyie mkiingia madarakani mtakuwa wabaya mara 10 ya CCM mnaotulaumu.
View attachment 2992838
Nitamchangia tuuuuuuMtoa mada una roho ya kimasikini kwelikweli....unazuia Hadi sadaka?
Wala usihofu tutachanga TUUU. Acha roho mbaya Ni zambiNimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake zote na serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama Samia. Soma uzi huo hapo.
- Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli
Kusema kwamba Lissu anakodisha gari kwa pesa nyingi ni uhuni mwingine wa CHADEMA chini ya Mbowe. Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kukosa gari la kupewa na chama ni aibu isiyoelezeka. Michango ya Join The Chain ingetosha kununua gari la kiongozi kama Lissu. Mbowe anafakamia ruzuku kumbe kiongozi wake anakodi gari kwa pesa nyingi. Yale magari ya M4C huwa yana kazi gani kama Lissu hana gari. Au Lissu alikataa double cabin akataka LC300?
Ninawasihi watanzania msiingie kwenye huo uhuni wa kuchangia mambo ya kipuuzi. Lissu ni tajiri anayeweza kumudu kusomesha watoto Marekani na kuwahudumia kwahiyo hashindwi kujinunulia hata Prado ya 50m. Pia kama Mbowe aliweza kuchangisha zaidi ya Tsh 400m kumnunulia gari la kifahari Askofu wa chama chake hashindwi kukusanya matajiri wenzake na kuwachangisha 400m kumnunulia Lissu gari la kifahari baada ya kusumbua nyumbu wenye hali ngumu kimaisha.
Kwenye maandamano yenu mmekuwa mkiongelea ugumu wa maisha sasa inakuwaje mnataka kuwakamua tena wananchi hela zao kidogo ili kumfurahisha Lissu kwa gari la anasa? Nyie mkiingia madarakani mtakuwa wabaya mara 10 ya CCM mnaotulaumu.
View attachment 2992838
Sasa kumchangia LISU na kumnunulia DC V8 Ili arahisishe wizi wa kura za ccm kipi bora kwako mma samiaNimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake zote na serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama Samia. Soma uzi huo hapo.
- Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli
Kusema kwamba Lissu anakodisha gari kwa pesa nyingi ni uhuni mwingine wa CHADEMA chini ya Mbowe. Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kukosa gari la kupewa na chama ni aibu isiyoelezeka. Michango ya Join The Chain ingetosha kununua gari la kiongozi kama Lissu. Mbowe anafakamia ruzuku kumbe kiongozi wake anakodi gari kwa pesa nyingi. Yale magari ya M4C huwa yana kazi gani kama Lissu hana gari. Au Lissu alikataa double cabin akataka LC300?
Ninawasihi watanzania msiingie kwenye huo uhuni wa kuchangia mambo ya kipuuzi. Lissu ni tajiri anayeweza kumudu kusomesha watoto Marekani na kuwahudumia kwahiyo hashindwi kujinunulia hata Prado ya 50m. Pia kama Mbowe aliweza kuchangisha zaidi ya Tsh 400m kumnunulia gari la kifahari Askofu wa chama chake hashindwi kukusanya matajiri wenzake na kuwachangisha 400m kumnunulia Lissu gari la kifahari baada ya kusumbua nyumbu wenye hali ngumu kimaisha.
Kwenye maandamano yenu mmekuwa mkiongelea ugumu wa maisha sasa inakuwaje mnataka kuwakamua tena wananchi hela zao kidogo ili kumfurahisha Lissu kwa gari la anasa? Nyie mkiingia madarakani mtakuwa wabaya mara 10 ya CCM mnaotulaumu.
View attachment 2992838
Huyo ni tapeli wa siasa we jiulize tu kibunda cha join the chain kilienda wapiNimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake zote na serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama Samia. Soma uzi huo hapo.
- Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli
Kusema kwamba Lissu anakodisha gari kwa pesa nyingi ni uhuni mwingine wa CHADEMA chini ya Mbowe. Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kukosa gari la kupewa na chama ni aibu isiyoelezeka. Michango ya Join The Chain ingetosha kununua gari la kiongozi kama Lissu. Mbowe anafakamia ruzuku kumbe kiongozi wake anakodi gari kwa pesa nyingi. Yale magari ya M4C huwa yana kazi gani kama Lissu hana gari. Au Lissu alikataa double cabin akataka LC300?
Ninawasihi watanzania msiingie kwenye huo uhuni wa kuchangia mambo ya kipuuzi. Lissu ni tajiri anayeweza kumudu kusomesha watoto Marekani na kuwahudumia kwahiyo hashindwi kujinunulia hata Prado ya 50m. Pia kama Mbowe aliweza kuchangisha zaidi ya Tsh 400m kumnunulia gari la kifahari Askofu wa chama chake hashindwi kukusanya matajiri wenzake na kuwachangisha 400m kumnunulia Lissu gari la kifahari baada ya kusumbua nyumbu wenye hali ngumu kimaisha.
Kwenye maandamano yenu mmekuwa mkiongelea ugumu wa maisha sasa inakuwaje mnataka kuwakamua tena wananchi hela zao kidogo ili kumfurahisha Lissu kwa gari la anasa? Nyie mkiingia madarakani mtakuwa wabaya mara 10 ya CCM mnaotulaumu.
View attachment 2992838
Kwahiyo kama CCM wanafanya mambo ya kijinga inahalalisha na nyie kufanya upuuzi? Tukiwaita CCM B mnakasirikaAcha kupangia watu matumizi ya pesa zao. Kama wewe hutachangia, kaa kimya. Hujalazimishwa.
Mbona miaka nenda nyinyi Maccm mnatulazimisha Watanzania kuchangia hela kwa ajili ya mbio za mwenge! Unataka kusema serikali yako haina hela?
Halafu hoja zako nyingi ni za kipuuzi. Unaongele habari ya Prado na Toyota Hilux za M4C! Wewe viongozi wako wanatumia hayo magari kwenye shughuli zao za kila siku?
Unahoji habari ya matumizi ya fedha za ruzuku na bla bla nyingine!! Wewe na serikali yako mna lipi jema? Kila sehemu ndani ya serikali kunanuka ufisadi na upigaji!
Acha unafiki aisee.
Unaposema 'nyie.....' unamaanisha sisi CHADEMA bila shaka! Nadhani utakuwa hauko sahihi. Kwa sababu ni Mtanganyika tu Mzalendo. Na si mwanachama au kada wa chama chochote kile cha kisiasa.Kwahiyo kama CCM wanafanya mambo ya kijinga inahalalisha na nyie kufanya upuuzi? Tukiwaita CCM B mnakasirika
Hata Yesu alikanwa na Petro kwenye nyakati ngumu... kwahiyo wewe kuikana CHADEMA kwenye huu upuuzi wao ni jambo la kawaida. Mtu asiye na chama ni MNAFIKI. Wewe Tate mkuu ni miongoni mwao.Unaposema 'nyie.....' unamaanisha sisi CHADEMA bila shaka! Nadhani utakuwa hauko sahihi. Kwa sababu ni Mtanganyika tu Mzalendo. Na si mwanachama au kada wa chama chochote kile cha kisiasa.
Ila nimeshangazwa tu na nanma ulivyoumizwa na kushikwa na uchungu wa ajabu juu ya hiyo taarifa ya kumhusu Tundu Lissu.
Afrika ngumu sana, kuna wakati unawaona wanasiasa wote ni wabinafsi tuNimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake zote na serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama Samia. Soma uzi huo hapo.
- Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli
Kusema kwamba Lissu anakodisha gari kwa pesa nyingi ni uhuni mwingine wa CHADEMA chini ya Mbowe. Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kukosa gari la kupewa na chama ni aibu isiyoelezeka. Michango ya Join The Chain ingetosha kununua gari la kiongozi kama Lissu. Mbowe anafakamia ruzuku kumbe kiongozi wake anakodi gari kwa pesa nyingi. Yale magari ya M4C huwa yana kazi gani kama Lissu hana gari. Au Lissu alikataa double cabin akataka LC300?
Ninawasihi watanzania msiingie kwenye huo uhuni wa kuchangia mambo ya kipuuzi. Lissu ni tajiri anayeweza kumudu kusomesha watoto Marekani na kuwahudumia kwahiyo hashindwi kujinunulia hata Prado ya 50m. Pia kama Mbowe aliweza kuchangisha zaidi ya Tsh 400m kumnunulia gari la kifahari Askofu wa chama chake hashindwi kukusanya matajiri wenzake na kuwachangisha 400m kumnunulia Lissu gari la kifahari baada ya kusumbua nyumbu wenye hali ngumu kimaisha.
Kwenye maandamano yenu mmekuwa mkiongelea ugumu wa maisha sasa inakuwaje mnataka kuwakamua tena wananchi hela zao kidogo ili kumfurahisha Lissu kwa gari la anasa? Nyie mkiingia madarakani mtakuwa wabaya mara 10 ya CCM mnaotulaumu.
View attachment 2992838
Au wachangishane wanunue chimpumu wanyweSisi hela zetu tutamchangia Lisu ananunue gari, ww na wenzako za kwenu kachangieni kwenye mbio za mwenge wa Uhuru.
Mlale Unono 😀😀
Unadhani kwanini Watu wanaenda Pemba kuchota mchanga wa baraka Kwenye kaburi la Maalim Sefu?
Au kwanini Watu walikimbilia kuyashika magari yaliyobeba miili ya Shujaa Magufuli, Mengi, Ruge na Lowassa?
Sabato Njema 😀
🗑🚮🗑🚮Nimesikitishwa sana na kauli yenye nia ovu kutoka kwa bibi Maria Sarungi kuwa Tundu Lissu hakulipwa stahiki zake hivyo inatupasa watanzania tuchange kumnunulia Lissu gari lingine (V8, VXR) ili kumrahisishia shughuli zake. Huo ni uongo kwa sababu Lissu mwenyewe alishakiri kulipwa stahiki zake zote na serikali ya awamu ya 6 chini ya Mama Samia. Soma uzi huo hapo.
- Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli
Kusema kwamba Lissu anakodisha gari kwa pesa nyingi ni uhuni mwingine wa CHADEMA chini ya Mbowe. Naibu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kukosa gari la kupewa na chama ni aibu isiyoelezeka. Michango ya Join The Chain ingetosha kununua gari la kiongozi kama Lissu. Mbowe anafakamia ruzuku kumbe kiongozi wake anakodi gari kwa pesa nyingi. Yale magari ya M4C huwa yana kazi gani kama Lissu hana gari. Au Lissu alikataa double cabin akataka LC300?
Ninawasihi watanzania msiingie kwenye huo uhuni wa kuchangia mambo ya kipuuzi. Lissu ni tajiri anayeweza kumudu kusomesha watoto Marekani na kuwahudumia kwahiyo hashindwi kujinunulia hata Prado ya 50m. Pia kama Mbowe aliweza kuchangisha zaidi ya Tsh 400m kumnunulia gari la kifahari Askofu wa chama chake hashindwi kukusanya matajiri wenzake na kuwachangisha 400m kumnunulia Lissu gari la kifahari baada ya kusumbua nyumbu wenye hali ngumu kimaisha.
Kwenye maandamano yenu mmekuwa mkiongelea ugumu wa maisha sasa inakuwaje mnataka kuwakamua tena wananchi hela zao kidogo ili kumfurahisha Lissu kwa gari la anasa? Nyie mkiingia madarakani mtakuwa wabaya mara 10 ya CCM mnaotulaumu.
View attachment 2992838
Mlifanikiwa kununua gari?Acha kupangia watu matumizi ya pesa zao. Kama wewe hutachangia, kaa kimya. Hujalazimishwa.