Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

 
Mtu hupewa wa kufanana nae.

Ndiyo kanuni.

Mhuni hupata mhuni mwenzie, muungwana hupata muungwana mwenzie.

Usitafute muungwana , anza kwanza wewe kujifunza na kuwa muungwana.
 
Jamaa katoka zake bush kavamia mji kwa pupa na Pesa zake za machungwa huyu hapa Mariam akasema acha atundike daruga
Shida ya watu wa shamba huingia mjini bila hodi kujifanya wajuaji ,mjini na choo cha uswahilini vinaendana kabla kuingia choo uswahilini unapiga hodi hata kama ndani hamna mtu.
 
Wasukuma wanang'arisha nyota za watu mjini. Wasukuma ni watu na nusu, wamewatoa mrithi watu wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…