Marian Schools huduma ya chakula, usafi ni ovyo sana

Maharage yana shida gani? Mbona ni chakula kizuri sana kiafya? Wewe ulitaka ule nini mtoto wetu?

Unaposema ada haiendani na services unamaanisha nini? Service kuu ya shule ni kukufundisha kielimu na maadili. Ulikuwa huelewi? Tabia yako ni mbovu hata sasa?

Wewe ni Mwanafunzi wa Marian kweli? Ama afisa uhusiano wa shule zingine?
 
Mixed feeling ya wazazi.......hapo sasa...! Mtoa malalamiko mi shule pinzani ame pose kama mzazi ??
 
Wamekwenda kula ama kusomaa
 
..........Madogo wasafishiwe hadi mikojo yao?
 
Ndio maana ni wanalipiwa bei ghali kisa wasiguse chochote ukitaka apelekwe kayumba akaoshe vyoo green acres kwa chakula zero na vyoo vimezeeka ila tulikuwa tunafanyiwa usafi wa kila mahali ndio maana ada ml 1 na mapoint kwa bweni
 
Mpeleke mwanao shule nyingine. Kwani umelazimishwa asome hapo?? Shule za private ni kama hotels kama hujarishika na huduma zake unahama.
 
Ni sehemu ya elimu, ikiwezekana na vibustani kidogo wanagusa hata mara moja kwa wiki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…