Marian Schools huduma ya chakula, usafi ni ovyo sana

Umelazimishwa kupeleka mtoto huko?,Kwamba wewe unataka usafi watoto wafanyiwe?,hii ni ajabu sana,hivi huyo mtoto atakuwa mgeni wa nani?.Je,huku si kuja kuwa na Watu ambao ni useless ktk Taifa letu?!.Wazazi wapumbavu km wewe ni heri wafungiwe jiwe shingoni watupwe baharini.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Hoja yako ni ipi hasa?
 
Kwanini unampeleka hapo Marian wakati zipo shule ambazo hazina hizo kazi? Waacheni wazazi wanao taka watoto wao wafundishwe skill za maisha hao wakwenu wakulelewa kwenye masinia msiwapeleke hapo acheni unafiki, kwani umelazimishwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe matokeo yako yalikuwaje yaani uanze mwaka 1-4 unalalamikia maharagwe kwanini wazazi wako wasikuhamishe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndo vizuri vijana wajifunze na kujitegemea

Kuna kijana kaenda Marian boys, karudi amekonda kimebaki kichwa tu.

Alikuwa bonge nyanya, now kanyooka swafi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walioko huko nao wanalalamika kwamba zile mashine za kufulia wanachanganya nguo wakati wa kufua. Na unakuta wanafunzi wengine wanakojoa, so nguo zote zinatoka zinanuka mikojo.

Kufuatia kadhia hiyo A level karibu wote wanajifulia kwa mikono.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kutibu UTI tyuuh
 
Watoto wa Marian kila wanaporudi ni kutibu UTI tu.
Usiseme watoto wa Marian, sema mtoto wako ndiyo anapata UTI kupitia ukahaba wake halafu unasingizia Marian.

Huyo mwanao atakuwa anagawa hapo mtaani kwako halafu mzazi hujitambui unadanganywa.
 
Shule nyingi ni wezi wakubwa, wanatoza ada kubwa halafu vijana wanalishwa chakula cha hovyo wakirudi wamedhoofika kama escape from Sobibor, kuna mijitu mijinga ina chuki za kipumbavu inataka watoto wa wenzao wateseke tu, kwa chakula kibovu sijui kama tutatoa wanasayansi wenye ubongo wa kuleta viwanda vya wazawa, kila siku tutawaliwa na wazungu.
 
Usiseme watoto wa Marian, sema mtoto wako ndiyo anapata UTI kupitia ukahaba wake halafu unasingizia Marian.

Huyo mwanao atakuwa anagawa hapo mtaani kwako halafu mzazi hujitambui unadanganywa.
Naona umepaniki. Shule yenu ni nzuri lakini ndezi kama wewe ndio mnaoiharibu . Useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…