akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Nakubali mimi ni mpumbavu kwa mtazamo wako. Lakini hoja yangu muelewe tu kuwa Ingekuwa kusoma kwa mituringa kuna tija nadhani tungewazidi wazungu na waarabu kifikra na Maendeleo. Sikatai mtoto kufundishwa life skills ni muhimu sana lakini tu iwe ni sehemu ya mafunzo na sio kuwafanya wao ndio resources za kufanya hizo kazi. Pia yaani mzazi ulipe milioni 5 - 6 halafu mtoto chakula ni maharage usiku na mchana mwaka mzima.Mpumbavu huyo
Nashukuru sana kwa kunielewa. Tatizo letu bado tuna fikra za zamani kuwa bila kupitia taabu au msoto hutafanikiwa kimaisha . Yaani mtu anaona fahari kuzungumzia maisha yake ya shule yalivyokuwa ya tabu chakula kibaya , kulima kwa sana na hata kulima mashamba ya walimu au kula viboko kwa sana WAO NDIO WANAONA SIFA. Wengine hatutaki watoto wetu wapitia ugumu tuliopitia.Mzazi anahoji hela wanazolipa wazazi kulipia HUDUMA ya elimu watu wanaleta chuki na wivu watoto wa wenzao wateseke, kula maharage ugali na kuosha vyoo kutasaidia nini watoto katika karne ya 21 ukiachana na kuwa ni WIZI wa ada za wazazi.
Sijapeleka mtoto kuosha vyoo na ndio maana nimekubali kulipa hela nyingi mtoto asome kwa urahisi. Au asiposafisha vyoo ATASHINDWA MAISHA?? Maana ndizo fikra zetu waafrika .Halafu wakisafisha vyoo watu Wana mind watt watakua Kazi gani jmn
Nimefuatilia kwa muda mrefu ubora wa shule za Marian hasa Marian Girls iliyopo Bagamoyo nikagundua kuwa ubora wao upo kwenye Masomo tu. Kuhusu huduma ya chakula ni duni sana Kulinganisha na Fedha wazazi wanazolipa ni mwendo wa harage mwanzo mwisho, chakula wanachokula hakina tofauti na wanachokula Tabora boys.
Pili ni kuhusu suala la USAFI, kwa kweli Marian girls wanatakiwa kuhakikisha Mazingira ya wanafunzi yanaendana na sifa ya Shule, kiukweli mazingira hayaridhishi hasa mabwenini na kwenye vyoo.
Halafu pamoja na kwamba watoto wanatakiwa kufundishwa usafi lakini isiwe ndio shule imefanya hao watoto kuwa ndio resources za kufanyia kazi, mzazi anapoamua kulipa fedha nyingi kwa ajili ya mtoto mjue pia anategemea kuwa maisha yake ya shuleni yatapata urahisi fulani, hii ya kuwatumia watoto 100% kusafisha vyoo sio sahihi, ni kwanini msiajiri watu kama wanavyofanya Precious blood, Bright future nk.
Kumbe ndio maana watu wanasema Marian haina kitu kikubwa zaidi ya umaarufu tu.
Mzazi huyo anataka mtoto wakeBinafsi ubora wa shule naupima kwa;
1. Ufaulu wa wanafunzi
2. Kufundisha watoto kazi za nje (usafi, kufweka, michezo nk)
Kwa ulivyo andika, nimeona hiyo ndio shule bora kabisa ya kupeleka mtoto
Ukweli watoto waliolelewa kama mayai huku makazini wanakuwa very disorganized kwa kuwa wamezoea kufanyiwa kila kitu. Nafikiri kama unakampuni ya kuajiri watoto wako ni sawa uwalee kama mayai ila kama unatemea waaajiriwe, jua hiyo shule ndio chaguo sahihi.
Ushauri: Ukisha ona watoto wanafaulu vizuri jua tu hayo mambo mengine yapo sawa. Kama wanakula vibaya ungesikia kila siku wapo hospilani kwa kuumwa (kukosa vitamin & minerals)
Kwa hiyo wewe mtoto wako hata nyumbani hafanyi usafi? Sawa unaweza ukawa umemuwekea watu wa kufanya usafi nyumbani lakini hilo bomu unalolitengeneza utakuja kukumbuka hizi posts when it is too late!!!!We ndio mjinga, ada na hela iendane na huduma.. tumelipa pesa ndefu mtoto apewe huduma stahiki sikulipa ada mtoto wangu akafanye usafi chooni
Kwani basi ni madogo!!! Mtu akishaanza shule ya secondary huyo ameshakuwa kijana hata kama ana 13 years!!! Ni muda wa kuanza kufanya vitu vya kujitegemea. Nashangaa eti mtu analalamika wanafunzi kusafisha vyoo!!! Anataka nani asafishe??? Mpuuzi kweli mleta mada...........Madogo wasafishiwe hadi mikojo yao?
Mtoe km wako nje ya makubalino yenuSijapeleka mtoto kuosha vyoo na ndio maana nimekubali kulipa hela nyingi mtoto asome kwa urahisi. Au asiposafisha vyoo ATASHINDWA MAISHA?? Maana ndizo fikra zetu waafrika .
Hii comment imenifanya nifikirie kidogo😬😬.acha tu!!! huyu atakuwa single maza,manake ndo hodari wa kudekeza watoto!!
Unapochukia watoto wa shule kufanya usafi unakuwa hauna tofauti ya mzazi anayemtumikisha housegirl na kuwafanya watoto wake kuwa mayai.Ni muhimu watoto wakapewa kazi ndogo ndogo ni kwa faida Yao.Sisi tuliopita shule za kufanya kazi mbali mbali tunaona tofauti yake.Shule za Katoliki Huwa hawalei mayai na ikiwa zinasimamiwa na masista jua neno ORA ET LABORA(Sara na Kazi) litatumika kisawa sawa.Nimefuatilia kwa muda mrefu ubora wa shule za Marian hasa Marian Girls iliyopo Bagamoyo nikagundua kuwa ubora wao upo kwenye Masomo tu. Kuhusu huduma ya chakula ni duni sana Kulinganisha na Fedha wazazi wanazolipa ni mwendo wa harage mwanzo mwisho, chakula wanachokula hakina tofauti na wanachokula Tabora boys.
Pili ni kuhusu suala la USAFI, kwa kweli Marian girls wanatakiwa kuhakikisha Mazingira ya wanafunzi yanaendana na sifa ya Shule, kiukweli mazingira hayaridhishi hasa mabwenini na kwenye vyoo.
Halafu pamoja na kwamba watoto wanatakiwa kufundishwa usafi lakini isiwe ndio shule imefanya hao watoto kuwa ndio resources za kufanyia kazi, mzazi anapoamua kulipa fedha nyingi kwa ajili ya mtoto mjue pia anategemea kuwa maisha yake ya shuleni yatapata urahisi fulani, hii ya kuwatumia watoto 100% kusafisha vyoo sio sahihi, ni kwanini msiajiri watu kama wanavyofanya Precious blood, Bright future nk.
Kumbe ndio maana watu wanasema Marian haina kitu kikubwa zaidi ya umaarufu tu.
Najivunia sana binti yangu kusoma hoyo shule aiseHii ni kuharibiana tu kibiashara. Shule zinazofaulisha na kutomlea mtoto kimayai zinazidi kupotea. Shule nyingi kwa sasa zimekazania watoto kufaulu pepa ya NECTA tu huku mambo mengine wakifanyiwa kitu ambacho sio sawa. Hizi shule za kitaifa Mzumbe, Ilboru, Tanga, Tabora, Old Moshi, Kilakala kwangu mimi zitaendelea kuwa bora kuliko hata hizo Marian na Feza.
Naunga mkono hojaHii ni kuharibiana tu kibiashara. Shule zinazofaulisha na kutomlea mtoto kimayai zinazidi kupotea. Shule nyingi kwa sasa zimekazania watoto kufaulu pepa ya NECTA tu huku mambo mengine wakifanyiwa kitu ambacho sio sawa. Hizi shule za kitaifa Mzumbe, Ilboru, Tanga, Tabora, Old Moshi, Kilakala kwangu mimi zitaendelea kuwa bora kuliko hata hizo Marian na Feza.
Hakuna shule ya Kanisa inatoza ada ya milioni 5-6,. Wewe hujasoma shule hizo na wala huna hata ndugu au mtoto anayesoma ktk shule hizo. Upo hapa kuchangamsha genge tumzazi ulipe milioni 5 - 6
Ulitaka shule ikupatie nini? Alipeleka mtoto shule ili akanye?Marian Girls iliyopo Bagamoyo nikagundua kuwa ubora wao upo kwenye Masomo tu.
Ulitaka huko shule watoto walishwe Pizza?Kuhusu huduma ya chakula ni duni sana Kulinganisha na Fedha wazazi wanazolipa ni mwendo wa harage mwanzo mwisho, chakula wanachokula hakina tofauti na wanachokula Tabora boys.
Inabidi kama wazazi mukae na uongozi wa shule kuwasisitiza wawasimamie wanafunzi wao kuhakikisha wanafanya usafiPili ni kuhusu suala la USAFI, kwa kweli Marian girls wanatakiwa kuhakikisha Mazingira ya wanafunzi yanaendana na sifa ya Shule, kiukweli mazingira hayaridhishi hasa mabwenini na kwenye vyoo.
Upo comfortable kabisa mtoto wako asifundishwe kusafisha choo anachikitumia?kuwatumia watoto 100% kusafisha vyoo sio sahihi, ni kwanini msiajiri watu kama wanavyofanya Precious blood, Bright future nk.
Kumbe ndio maana watu wanasema Marian haina kitu kikubwa zaidi ya umaarufu tu.
Hizo shule ni zinazomfanyia Mwanafunzi kila kitu ni kama viwanda vya kutengeneza Maroboti tu.Hii ni kuharibiana tu kibiashara. Shule zinazofaulisha na kutomlea mtoto kimayai zinazidi kupotea. Shule nyingi kwa sasa zimekazania watoto kufaulu pepa ya NECTA tu huku mambo mengine wakifanyiwa kitu ambacho sio sawa. Hizi shule za kitaifa Mzumbe, Ilboru, Tanga, Tabora, Old Moshi, Kilakala kwangu mimi zitaendelea kuwa bora kuliko hata hizo Marian na Feza.
Ajaribu kumpeleka Mazinde Juu, huko wanalima na wanatosha mpk nguruwe na mabanda yake.yake.Shule za Katoliki Huwa hawalei mayai na ikiwa zinasimamiwa na masista