Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Walikua wanamcheka Magufuli wataelewa tu hawa wapinzani ukijifanya kuwabembeleza sana watakuendesha kama gari bovu dawa ni kuwakazia tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi unategemea CCM wakubali revolution ya katiba mpya kirahis? Labda iwe inawa favor wao!!Kumbe na Rais Samia naye hajiamini? Namuonaga kivingine kumbe sio.
Maridhiano tayari yameshakwama, Ccm sio wakuwaamini kabisa, wamejaa hila, hadaa na udanganyifu tu, angalio walichomfanyia Maalim Seif (Rip) huko Zanzibar baada ya maridhiano yao.Mh Mbowe
Kuna maandiko yanayosema ' Heri ya wale wanaoamini kwa kusikia kuliko wanaosubiri kuona''
Mbowe, hivi hukuambiwa? Hukutahadharishwa?
JokaKuu Pascal Mayalla
Shida sio ccm. Bali wanaowapa nguvu ccm.Maridhiano tayari yameshakwama, Ccm sio wakuwaamini kabisa, wamejaa hila, hadaa na udanganyifu tu, angalio walichomfanyia Maalim Seif (Rip) huko Zanzibar baada ya maridhiano yao.
Shida sio ccm kama chama bali nguvu iliyoko nyuma yao.CCM ni matapeli sio wa kuwaamini
Chadema wakikubali mfumo wa serikali mbili kwenye katiba mpya watakuwa wahaini.Bring back our WARIOBA.
Majira hubadilika; sakata la bandari limebadili upepo. Mashtaka ya uhaini yameishia wapi?!Mbowe anawazuga Wananchi kwa kuwapiga sound na wananchi wanamzuga kwa kumshangilia
akilianzisha wanamkwepa nae anajua watamkwepa anawazuga tu
Ingiza watu barabarani wafanye fujo utajua kama Majira yamebadilika au au yame pause yakisubiri muda muafakaMajira hubadilika; sakata la bandari limebadili upepo. Mashtaka ya uhaini yameishia wapi?!
Wahaini huko Mbeya washahukumiwa?Ingiza watu barabarani wafanye fujo utajua kama Majira yamebadilika au au yame pause yakisubiri muda muafaka
chezea kila kitu ila sio amani ya Nchi
hata huko Marekani kulikoanza Siasa wanamshughulikia Rais wao wa zamani kwa kuchezea amani kwa kisingizio cha Demokrasia
Kesi inaendelea …kwani umewaskia tena wakihamasisha ghasia ? fanya Siasa zako zote usinichanganye kuhamasisha ghasia? Wee hujiulizi kwanini Mbowe na Lissu watatoa kejeli zote kwa Rais lakini hawathubutu kuhamasisha Ghasia siku hiziWahaini huko Mbeya washahukumiwa?