Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

Kwani Marioo yupo WCB?
Uchawa halafu ukiwa huna akili tatizo kubwa
 
Alitaka Marioo ampapatikie huyo boss wao aliyeshindwa muziki, Marioo brand kubwa
 
Yeye anaemtuma Abba kwa babutale akamuombee msamaaa kwa Simba alafu anarudi media anavimba ndio anahara mtoto mdogo sana yule anahitaji kushikwa mkono afike mjini anapoenda sasa ni pagumu mno weken akiba ya maneno msimalize yote
Hiloooooooo kubwa zima akili kisoda [emoji1787][emoji1787]
Huyo Boss wako angemshika Mkono Mbosso, Lava Lava na Darleen mbona wanaelea tu, Duniani hawapo mbinguni wanatafutwa
 
Marioo angekua mpuuzi wa mwisho kama angekubali kusainiwa WCB, huko international huyo Mondi yeye kafika wapi? Mbona tunawaona Wa Nigeria tu wanapishana kwenye viwanja vya Marekani na Uingereza, acheni ujinga nyie wa kumvisha huyo boss wenu uchwara kilemba cha ukoka
 
Marioo ndyo mwanamuziki nambari UNO kwa Sasa nchini Tanzania kubali kataa

Nakubali diamond n msanii Bora ila kwa Sasa kubalini huyo dogo kwa Sasa Ni noma Tena Sana


Mboso hawez mfikia huyo kijana mboso anaimba taarab m hanganyiko na nachinachi Kutoka bara Hindi
 
Issue ni kwamba....Marioo anawaumiza Vichwa sana pale Usafini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…