Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Huyo chawa wa mondi sijui kala maharage ya wapi, mario sio msanii wa level ya mbosso. Mziki anaujua na kipaji kinambeba hata kazi zake zinathibitisha hiloTena tupo wengiiiii huyo chawa mwenyewe anajua siku ya uzinduzi wa Album yake watu walivyomuitikia
π akacheze anakochezaga (in mario voice)Ni mwandinga wanamuita papai rojo π
Tupo hapa tutawakumbusha.Marioo ndyo mwanamuziki nambari UNO kwa Sasa nchini Tanzania kubali kataa
Nakubali diamond n msanii Bora ila kwa Sasa kubalini huyo dogo kwa Sasa Ni noma Tena Sana
Mboso hawez mfikia huyo kijana mboso anaimba taarab m hanganyiko na nachinachi Kutoka bara Hindi
Kama sio mwijaku basi ni baba levo.Wote tunamjua marioo kama msanii anaejitafuta ila bado ajajipata.
Wote tunajua anakopi sana swaga za Mbosso Khan.
Wote tunajua kusoma na kuandika bado ni mtihani kwake.
Lakini huyu dogo baada ya kupigwa kidogo nyimbo zake mtaani amekuwa na dharau anavimba sana haswa kwa wasanii aliowakuta.
Nidhamu kwake imekuwa ni mtihani.
Anapewa pesa ya ghost writing yeye anaenda media kutangaza nandy nimemuandikia mimi barnaba nimemuandikia mimi...huu ni utovu wa nidhamu na kukiuka makubaliano si ustaarabu.
Lakini yote kwa yote amevuka mipaka sasa anamvimbia Simba.
Marioo wa kumwambia Simba anatafuta kick kupitia wewe wakati ulikuwa unapanga foleni ya kumuona pale mbezi ili asimamie project zako?! Mbona kina Barnaba king mopao wanakubali Simba aanawapush wewe umeenda kuomba alafu unasema Simba anatafuta kick kwako si ndio basi sawa.malipo ni hapa hapa duniani
Muziki unahitaji discipline..muulize talented aslay kuvimba kulimfikisha wapi na waliokuwa wanamshika masikio walipotelea wapi sasa hivi ata pakuishi amekuwa anabebwa.
Chunga sana kijana
View attachment 2594537
Ngono back to back ni keroSure wcb wameimba sana ngono mpaka ukipata Mgeni home unabidi kumdanganya kuwa huna kifurishi Cha TV ili kutotazama uchafu hili anguko lao wamelitafta wenyewe
Haswaaaah na ana jimudu sasa.Alitaka Marioo ampapatikie huyo boss wao aliyeshindwa muziki, Marioo brand kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo inno muambie boss wako huyo asake wa tandale ajifunze ku-move on.
Dyadyaaa mji mzitoo, kuna wahongaji Bongo??Huu Umbea Dadako mbona sina..
Kwamba ile Range amenyanganywa?
Na ana wavurugaa kweli kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Issue ni kwamba....Marioo anawaumiza Vichwa sana pale Usafini..
Mambo yamechemka aiseee...Dyadyaaa mji mzitoo, kuna wahongaji Bongo??
Watu washamchakachua mtu kunako, na range wamebebaaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea pedeshee wa town weyeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka wakati ndo anatamba nalo, basi tukawa chimbo anaanza kujifaragua, na kumchamba A, eti anaburuzwa na watoto wa kino hata IST hapewi,Mambo yamechemka aiseee...
Ndiyo maana siku hizi kiherehere cha Range this... Range that kimeisha..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka wakati ndo anatamba nalo, basi tukawa chimbo anaanza kujifaragua, na kumchamba A, eti anaburuzwa na watoto wa kino hata IST hapewi,
Mie nkamuuliza wee unavotamba na kucheka wenzio, hiyo Range kadi na bima zinasoma jina lako?? Etii oooh kuna jamaa ndo yuko kufuatilia ikikamilika napewaa, dyadyaa nilichekaa hadi machozi ile siku. Nkamuambia sio wee kidampaa,. Walikuwa slays tena wenye nyota zao, mfano Wema sepetu. Muulize akupe tips za wanaume wa bongo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi chimbo haonekani, na last seen 2,weeks ago, na waja wanamsubiri balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku aki log in atajuta kuwafahamu. Uwiiiiih
Gay wa pita huku ya Dulla makabila.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
A ni nani tena Dogo?
Aaaaah....OK.Gay wa pita huku ya Dulla makabila.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeaaah!!!Aaaaah....OK.
Aisee π€£π€£π€£marioo na mboso wap n wap
sema una chuki na dogo
unasema kusoma na kuandika kwake mtihani, alafu unasema kawaandikia watu anajisifu (sasa aliwaandikiaje na kusoma na kuandika kwake mtihani)
wewe ndo mwenye akili ndogo mnooooo, una chuki za kipumbavu mnoooo
πππ