Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Hii movie nilkua nai rudia kila siku na sichokii [emoji28][emoji28]Miaka ya 90 ilinogeshwa na movie murua sana...View attachment 2584516View attachment 2584518View attachment 2584523
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii movie nilkua nai rudia kila siku na sichokii [emoji28][emoji28]Miaka ya 90 ilinogeshwa na movie murua sana...View attachment 2584516View attachment 2584518View attachment 2584523
SOLOMiaka ya 90 ilinogeshwa na movie murua sana...View attachment 2584516View attachment 2584518View attachment 2584523
Duu unakumbukumbu balaaMnamkumbuka Frank Zagarino?
hapana hiyo muvi huyu na yule aliyemnypa nywele kwa kisu ndo mastarling
Sure mkuu akakibeba kikawa kinampiga piga kikagundua kumbe ni mzee nomaMtoto ndo anachomwa moto mbele ya dingi ake, kumbe kile kitoto kilikuwa kijanja kikajifukia chini, Dah Those back days
Daa mathiasi si nd alikuwaga anafuga mamba anarushia wenzie yuko na mtalaam laurenView attachment 2584439
Kubwa la Maadui MATHIAS.....anakwambia "Forgiveness is between you and God, and my Job is to arrange the meeting"[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hahahahahah nilijua lazma aishe tu! Ameliwa kikatili sana 🤣Aponeee wapii 😅😅😅
Kaisha vizuri.. nilikuwa nacheka kimoyo moyo anavyomkandia jamaa yake 😅😅😅
Ukitaka sikia maneno ya shombo ya mdada kwa mwamba wake mkojoze mfikishe vilele vyotee ndio utajua walivyo na maneno ya shombo
Alafu nikaanza kama mfagilia mshikaji wake.. ukuda sana haya mambo
nimemchakaza vibaya sanaaa 😅😅😅Hahahahahah nilijua lazma aishe tu! Ameliwa kikatili sana 🤣
Lile jamaa lililomkata kichwa mke wake alilitoboa macho kule korongoniKuna The New big boss Donnie mke wake anakatwa kichwa humo ndani hamna story ni mkono tu mwanzo mwisho[emoji1787][emoji1787]jambazi anavaa mnyororo mkononi
Ni fire🔥One of my fav ni American Shaolin daa nlikuwa naikubali kinoma hasa ile scene jamaa anaenda pigana na marobot ya mbao kama test[emoji91][emoji91]
Ama kweli nguvu kitu cha kuishaView attachment 2584497
Drive hawakua wakiongea mara Kwa mara...🤓😄Kipindi naangalia hii hata kiingereza kilikuwa hakipandi, zile part ambazo watu wanaongea ongea nilikuwa naona wanazinguaa 🤣🤣. I need to rewatch these classics.
Blood moonJamaa alikua yupo vzr sanaa....
Unakumbuka Ile movie ya yule jamaa alikua na vidole viwili vya chumaa...
Akawatafuta
Mabigwa wotee wa ndondi akawaua...
yaani hiyo striker, hilo kava na kilicho ndani, ni kama vile clickBait zile za youtubeMiaka ya 90 ilinogeshwa na movie murua sana...View attachment 2584516View attachment 2584518View attachment 2584523