Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Aponeee wapii 😅😅😅
Kaisha vizuri.. nilikuwa nacheka kimoyo moyo anavyomkandia jamaa yake 😅😅😅
Ukitaka sikia maneno ya shombo ya mdada kwa mwamba wake mkojoze mfikishe vilele vyotee ndio utajua walivyo na maneno ya shombo

Alafu nikaanza kama mfagilia mshikaji wake.. ukuda sana haya mambo
Hahahahahah nilijua lazma aishe tu! Ameliwa kikatili sana 🤣
 
images (26).jpeg


Hii pia ilikua ipo fire
 
Kipindi naangalia hii hata kiingereza kilikuwa hakipandi, zile part ambazo watu wanaongea ongea nilikuwa naona wanazinguaa 🤣🤣. I need to rewatch these classics.
 
Back
Top Bottom