Uchaguzi 2020 Mark Zuckerberg ndiye atakayemwapisha Tundu Lissu?

Hzo polls ni reflection za kura halisi.
 
Ndo mana nikasema huweza kuelewa maana ya hizo online polls kama hujaenda shule.
Tofauti ya wapiga kura wa mitandaoni na wale wa box la kura ni;

1. Wa mitandaoni vipaumbele vyao ni kuwa na magari mazuri, nyumba nzuri na kusomesha watoto wao shule za gharama.

2. Wale wa box la kura ambao ndio wengi ni kuwa na uhakika wa maji, umeme, huduma za afya, uhakika wa masoko ya mazao, pamoja na uhakika wa watoto wao kusoma.

3. Wa mitandaoni vipaumbele vingine ni kuwa na mianya ya kupiga dili,kupiga rushwa, kupata kipato kisicho halali pamoja na kulipwa mishahara mikubwa kuliko ufanisi wao.

4. Wa box la kura vipaumbele ni kuzibwa mianya ya rushwa, kutoibiwa mazao yao na vyama vya ushirika, kuondolewa tozo zisizo za lazima za mazao na mifugo, uhakika wa amani na usalama.
 
Sijui kama kakuelewa
 
Kamanda upo?
 
Hivi inakuwaje vilaza wote mko CCM tu?
 
Ndiye atakaye yanyoosha maccm kisheria yatakapo dhuru mwili wa Lissu kwa aina yoyote ile au kufisha uhai wake, kuapishwa ataapishwa na jaji mkuu wa Tanzania.
 
Amakweli twaweza walikuwa sahihi, so una maana wafuasi wa ccm ni wale wasiyo na access na mitandao wala network au wenye akili kama zako?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Namaanisha ni wale wenye akili kama INFIX. subiri kipigo uje ulie Kwio hapa. Wacha kelele mapema
 
Sio yeye NI SISI TUTAMPA MAKWENZI. Niandalie bata watatu wa kula tar 28, 29, na siku ya kutangaza ushindi wa JPM.
 
Benson Bana siku hizi hafanyi tena yale "mautafiti" yake ya REDET?
Najua hapo matokeo yangekuwa:-


  1. Mtukufu sana 98.6%
  2. Lissu 01.39%
  3. Lipumba 0.001....... Jamaa alikuwa ananikera yani....hatimaye kakumbukwa teuzini....
 
Hao walioko FB, Twitter n.k ni waTZ na hayo ni maoni yao nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii, hizo social media ni platform tu lakini pia sample zake zinaakisi nani endapo kura halisi zikiwa huru na haki ataweza shinda uchaguzi hapo oct 28.
Unadhani wtz wote wanamiliki smartphone eeh?
 
Sio yeye NI SISI TUTAMPA MAKWENZI. Niandalie bata watatu wa kula tar 28, 29, na siku ya kutangaza ushindi wa JPM.
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nyumbu bn .!
 
Hebu anzisheni na nyie vijana wa ccm tuone itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…