RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Inasemekana ameokoka na aliwahi kuugua vibaya sana huyu mchekeshaji.
Labda fluoride ndiyo imenituma nijibu hivi bandiko lako
R.I.P John Ikechukwu Okafor (Mr Ibu). Kumbe ametutoka 2/03/2024.Mr Ibu kwa uhalisia alikufa mwaka mmoja nyuma ,tangu siku ile ya birthday yake alikuwa kama zezeta ,mwaka jana ndio alikatwa mguu mwezi wa 10 kama sijakosea
Watapata mapigo si ya nchi hii...!!Finally, he dies abandoned with no wife, no properties, no money and no legs.
Kuwa na utu wewe, unasemaje so? [emoji848] Wewe alichokihadithia hapo unaona ni kitu cha kawaida kwako au ndio jini wewe? [emoji848]So.....?
Nadra sana kupata rafiki wa maisha kwenye ndoa aisee.Kuna baba mmoja karibu na kinondoni alipooza.
Kichwa tu ndo kilikuwa sawa.
Watoto, ndugu, marafiki walimkimbia. Mkewe kapambana nae kwa zaidi ya miaka 5 mpaka mauti ilipomfika. Mama wa kiislamu yule MUNGU ampe maisha marefu sana.
Vitu vizuri ni nadra boss.Nadra sana kupata rafiki wa maisha kwenye ndoa aisee.
Toto jinga sana hilo aisee. Na ndio huwa wanasema mtoto wa kike anamjali baba yake hilo sijui limekuwaje.Kibaya zaidi 60% ya hizo pesa ilibebwa na mtoto wake wa kike kwa ajili ya kufanyiwa oparesheni ya kuongeza matako. Na alifanikiwa kufanya hivyo. Utamuona tu msibani mkuu. Sijui naye atakuwa analia[emoji848]
Inaonekana ni muoga wa maisha sanaIla ukumbuke kuwa hakuna utofauti kati ya mwanamke na mwanamke. Mwanamke ni yule yule tu. Yupo kimaslahi, ukiona unapatana naye, ujue kuna kitu anabenefit kutoka kwako, siku ukipoteza ndo basi tena. Hata maandiko yanasema tuishi nao kwa akili
Siwezi mhusisha mwanamke kwenye masuala ya pesa ama mali zangu za nje. Ama hata kimawazo, sihitaji cha ziada kutoka kwake zaidi ya unyumba, watoto na uwepo wake tu. Hawachelewi kukugeuka. Nimeshuhudia wangapi! Ni wengi sana mkuu
Hawa viumbe ni wa kukaa nao mbali sana mkuu. Watu wamelia sana na kusaga meno
Sija ona maana ya kuweka dini hapo .are you normal ?Kuna baba mmoja karibu na kinondoni alipooza.
Kichwa tu ndo kilikuwa sawa.
Watoto, ndugu, marafiki walimkimbia. Mkewe kapambana nae kwa zaidi ya miaka 5 mpaka mauti ilipomfika. Mama wa kiislamu yule MUNGU ampe maisha marefu sana.
Tatizo wanadamu wanaogopa maishaVitu vizuri ni nadra boss.
Ni nadra kuwa tajiri ila wapo matajiri.
Marriage is not a loss to every man but a filter to who is a real man
Kwenye maisha kuna mabaya na mazuri na yote hayo tumeumbiwa wanadamuJamii imeacha kutrain watoto wa kike kuwa wake msisitizo ulikuwa kuwatrain wanaume kuwa mume bora ila wakasahau mume bora anahitaji mke bora.
Watoto wa kike wa miaka hii tabia zake zinategemea amekulia wapi na alikuwa na nani kwenye ukuaji wake. Kimsingi wanawake kwasasa ni changamoto na huu msiba utakuja kuwaelemea watoto wetu wa kike siku zijazo wanaume watakaposusa mahusiano na kutafuta mpango wa kuishi bila wake.
Ina madhara gani hio fluoride?Huwezi kunielewa kwa sababu unatumia fluoride
Umesema chanjo ya nini?(4) Damu ikaanza kuganda kwenye miguu sababu ya chanjo ya korona
Wanapeana sana talakaKatika jambo nimejifunza sana kwenye maisha yangu hadi sasa ni kuwa wenzetu Waislam wanamjua Mungu kweli kweli sio maneno maneno tuuu!
Waislam ni mara chache sana ukasikia kesi za wanawake kukimbia au kutelekeza waume zao au kutaka kuwatoa roho…..
Wakristo hasa wanawake baadhi wamejawa na ukatili wa ajabu sana na ni wanafiki sana sana….hela ikiisha wanakimbia kabisa ….
Nimeona sana mtwara)masasi watu wana prefer kuoa waha/wangoni au wabena na si wanawake wa kwao.Na huku kwetu mtwara si ndio wanawake hawahawa wa kiislamu wanaotelekeza waume zao? Mpaka inafikia hatua wanaume wa pwani wanatamani sana kuoa mabinti wa kikristo wa kibena na kikinga?