Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

Mbona jambo la kawaida kabisa hilo? Mke wa kaka yako akiwa katili ni lazima na mke wa baba yako awe katili? Yakikukuta wewe haimaanishi mwingine lazima yatamkuta. Hapo ulipo hakuna mwanamke mwema wa kumtazama ukajua hili?
Itakuwa mama yake ni katili kwa hiyo kwake kila mwanamke yuko hivyo
 
Huyu jamaa ndio P Square walimtumia kwenye Ngoma Yao ya Bank Alert akiigiza mnoko sana kwa binti yake.
 
Kuna baba mmoja karibu na kinondoni alipooza.
Kichwa tu ndo kilikuwa sawa.
Watoto, ndugu, marafiki walimkimbia. Mkewe kapambana nae kwa zaidi ya miaka 5 mpaka mauti ilipomfika. Mama wa kiislamu yule MUNGU ampe maisha marefu sana.
Kulikuwa na haja gani ya kusema mama wa kiislamu
 
Pole sana
 
Aina ya chakula inachangia pia kuwa na uwezo mkubwa wa kiakili
 
Ndoa haijawahi kuwa kitu kibaya. Tatizo mkishaona matako mnakimbilia kuoa bila kujali utu wa huyo unayemuoa...kwa sababu tu una pesa anaamini kila kitu kitakuendea kama unavyotaka mnasahau kwenye maisha kuna kupanda na kushuka
Hata wenye makalio wanatakiwa waolewe
Kuna watu wameoa vimbaumbau na bado wanawanyoosha
Kwenye maisha hakuna ajuaye kesho
 
Tatizo wanadamu wanaogopa maisha
Mwanadamu uwe tayari kwa lolote gumu litakalokuja mbele yako

Mazuri na mabaya yote ni ya wanadamu mfano waliozaliwa vilema hawakupenda; same kwa wanapata matatizo hawakupenda yote ni maisha
Point ya muhimu mno hii.
 
Kwenye hili hakuna justification. Hatuwezi kusema ni kweli au si kweli. Wapo wanawake huuguza waume zao hadi mwisho na wapo amabao hukimbia na kila kitu.

Pia wapo wanaume huuguza wake zao hadi mwisho na wapo ambao hutelekeza mazima. Huvyo ukipata wa kukufaa shukuru ukikosa usiseme hawapo kabisa.
 
Point ya muhimu mno hii.
Kwa sisi wakristo tunaamini baada ya adam na mkewe kula tunda la uzima na ubaya maana yake mazuri na mabaya ni sehemu ya maisha ya mwanadamu

Watu wengi sana wanahusisha mabaya na shetani sio kweli au mazuri na Mungu sio kweli sababu ule mti wa uzima na ubaya alioupanda ni Mungu na sio shetani

Kwenye nature ya hii dunia kuna mabaya na mazuri
Hata Mungu anatumia mazuri na mabaya kutekeleza mipango yake same kwa shetani
 
Hii video clip inaumiza sana sana
Your browser is not able to display this video.
 
Nadhani tatizo kubwa la wanaume tukishakuwa na hela hata kama mwanamke alikuwa mapepe tunajipa matumaini atatulia baada ya kuingia kwenye ndoa nadhani matatizo mengi yanaanzia hapo ndo shida hyo.
 
Si lazima kuwa kwa sababu huyu mzee alioa mke mwema wa kiislamu basi wanawake wa kiislamu ni wema. Kwanini mnaassume maisha ni kama mti kuwa yapo fixed sehemu moja tu?
Mhhhh hawa wakina Rukia kila siku kwa waganga mara ametupiwa jini mara sheikh amempa jini zuri. Jaman waislam kuna jini zuri ?
 
Nadhani tatizo kubwa la wanaume tukishakuwa na hela hata kama mwanamke alikuwa mapepe tunajipa matumaini atatulia baada ya kuingia kwenye ndoa nadhani matatizo mengi yanaanzia hapo ndo shida hyo.
Hata ufanyaje hakuna ajuaye kesho kwenye maisha lolote lile linakuja bila ya taarifa
Wengine lazima wafail ili wawe fundisho kwa wengine na wengine wafanikiwe ili wawe fundisho kwa wengine
Swali utakua kwenye kundi lipi hakuna ajuaye
 
Wanawake ni majini.
 
Umeongea point moja hapo juu jinsi malezi ya watoto wengi wa kike wanapokuwa wadogo,wamama wapumbavu na ndio walio wengi,hulea mabinti zao kwa kuwapandikiza chuki juu ya wanaume,mwisho wa siku wakiolewa anakuwa na hali ya kujihami kwa kila kitu,inakuwa kama anaishi na adui yake,hii husababisha msuguano mkali sana kwenye ndoa.Nasema kila siku na ninarudia tena,ndoa bila ya kumshirikisha Mungu mwanaume mwenzangu usitegemee muujiza,kuna mahali inafikia unahisi unapambana na huyo mwanamke kumbe uko kwenye vita ya moja kwa moja na shetani...
 
Umeandika Point Kubwa Msaada ni Yesu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…