Marriage is a loss to every man. Yaliyotokea siku chache kabla ya kifo cha Mr. Ibu

Nadhani ni matokeo ya mambo mawili, moja ni nature ya mwanamke mwenyewe alivyoumbwa na mbili ni fulda aliyoipata mwanamke.

Ki asili mwanamke ni mbinafsi, si wote ila wengi wao ni wabinafsi. Yaan wakati wengi wa wanaume huwaza kupata maisha mazuri waoe waboreshe familia (si wote), wanawake wengi huwaza apate maisha mazuri aishi peke yabe na wanae. Zamani fulsa ya mwanamke kutoboa ilikua ndogo, ilq dynia ya sasa fulsa ya mwanamke kutoboa ni kubwa, so wanafanya lolote hata kama atatobolea kwa kumdhurumu mwanaume ila katoboa, na akishamdhurumu mwanaume sheria nyingi zinamlinda mwanamke.

Ndio unakuta vilio vingi vya wanaume kupigwa na vitu vizito zinaongezekq
 
Hapo nimeelewa...
Na logically mtoto wa kiume amesahaulika, na wa kike amejengewa Sana uwezo.
Ndio maana gap ni kubwa.
Sisi kama wazazi tunajukumu kubwa la kuwajenga hawa watoto wetu, wawe vijana wazuri baadae ili waweze Jenga familia Bora.
 
Hapo nimeelewa...
Na logically mtoto wa kiume amesahaulika, na wa kike amejengewa Sana uwezo.
Ndio maana gap ni kubwa.
Sisi kama wazazi tunajukumu kubwa la kuwajenga hawa watoto wetu, wawe vijana wazuri baadae ili waweze Jenga familia Bora.
Hakika japo vita ni kubwa mnoo. Unaweza mlea vizuri sana akiwa mdogo, akifika chuo ananzaa kuwa na smartphone yake. Hapo atajifunza kilabkitu kizuri na kibaya kuhusu dunia na ataona, kusoma na kusikia kila ambalo wewe pengine ulimficha au ulimfundisha kwenye njiabiliyonyooka, ila sasa atajua namna ya kupindisha mwenyewe.

Tote na yote ni bora kumfundisha njia sahihi na kama ataiacha hatia i juu yake.
 
tokea siku ile mwanamke alipopewa elimu, alipopewa ajira, alipopewa fedha alipopewa simu na vyombo mawasiliano, alipopewa madaraka dunia haitakuja kukaa sawa kamwe, hadi dunia itakapo jirudisha kwenye misingi yake.
 
Yeah... It's better ajue mapema!! Akibadirika ni yeye kaamua.
 
Me naikumbuka ile ya Mr Ibu katongoza Demu kwenye daladala wakapeana ahadi washuke si akatangulia Ibu kushuka huku anamsubilia demu nae ashuke, ile anashuka kumbe demu ni kiwete ikabidi Mr Ibu amkimbie huku akiomba Daladala lisimame apande
 
Ni kweli wanawake wengi wana roho mbaya, ila ubaya wao wengi huwa tunauandaa kwa eidha kuufumbia macho au kutafuta mchepuko ili muumizane kihisia.

Ka hizo mbanga hapo bila shaka huyo Mr Ibu kuna mahali alikua anafeli.
 
Reference: Female insects that kill their mates after intercourse

Drone bee's

Drone bees are the male bees in a bee colony. In bee colonies, there are three types of bees: a queen bee, worker bees which are females, and drone bees which are males.

While these worker bees fly from flower to flower collecting pollen and returning home to the hive to make honey, the drone bees do not participate in collecting of nectar or pollen and they do not even sting. Their only interest is to mate with a receptive queen.

Drone bees are sometimes driven out of the colony by worker bees. This is to ensure that there is enough food for the queen, the workers and the bee larvae, or babies.

Drone bees’ only job is to mate with the queen so that she can lay eggs for future bees. Even when their job seems pretty much easy, the life of a drone bee is very difficult and short.

They do not live for more than 90 days. They automatically die when they mate with the queen bee. They mate with the queen while flying. If a drone bee succeeds in mating with the queen, the first thing that happens is that all of the drone’s blood in its body will rush to its endophallus and causes it lose control over its entire body.

What happens next is that its body will fall away, leaving a portion of his endophallus attached to the queen which helps guide the next drone in the queen.

Also, a queen mating yard must have many drones to be successful. Drone bees have bigger bodies than worker bees, but are usually smaller than the queen.
 
Ukweli huo,unatumia nguvu kubwa kupambana nae habadiliki,kumbe siyo yeye kuna shetani ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J
R I P John Ikechukwu Okafor
 
Mhhhh hawa wakina Rukia kila siku kwa waganga mara ametupiwa jini mara sheikh amempa jini zuri. Jaman waislam kuna jini zuri ?
Na wapo kina Kuruthumu ambao hujakaa vizuri umekodiwa majambazi. Mm kusema mama wa kiisilamu alikuwa mwema kwa mume wake aliyepooza sijahitimisha kuwa wanawake waislamu wote ni wema.
 
Hata wenye makalio wanatakiwa waolewe
Kuna watu wameoa vimbaumbau na bado wanawanyoosha
Kwenye maisha hakuna ajuaye kesho
Hujanielewa. Sijamaanisha wenye matako wana tabia mbaya...nilichomaanisha ni kwamba ndoa ni zaidi ya physical attraction. Usioe tu mtu yeyote kwa sababu tu unaweza kuafford kuwa naye kwa sababu hakuna ajuaye kesho
 
Na mtoto ake kachukua account ya TikTok kabadirisha jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…