Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

mkuu watu hawaeleweki wanataka nini??! Ndiomaana Mungu alitutia adabu kwa kutuletea dikteta yule,

Sasa mama Dawa yake Kama mijitu itaendelea kupinga pinga kila kitu iviivi, Bora awabane kila idara tu kmmmae, maana hatuna fadhila sisi
 
Ishu si hao hawana shukrani mimi sina chama cha siasa lakini mtu akiacha ubunge kwa kutokuudhuria vikao vya bunge unampaje nafasi ya ukuu wa wilaya Mama anaweza kuwa vizuri lakini anapokosea usiweke upofu kisa ni Mama wanaomsaidia teuzi wanazingua sana hii ni kweli
 
Wewe unaona uteuzi wa nassar ni sawa?
 
fact kabisa, jamaa Ni mkongwe kweli, nikweli tangu tawala zilizopita alikuwa anazipinga,tena tulikuwa tunakosoa wote, Sasa hata uyu mama nae bado pamoja nakuanza vizuri still wanampinga tu,

Ivi tunataka tuje tuongozwe na malaika au
 
Uislam unakujaje tena hapa mkuu wangu?😇
Udini ni mbaya sana boss
 
Huu Mama amalize muda wake na aondoke zake..
Amekuwa Rais by default kabisa huyu..aende.
 
We pumbavu kweli eti sabaya wamemtengenezea makosa!kwani cdm Ni Dpp?
 
Alichaguliwa kwa imani yake au kwa kukidhi sifa bainifu zilizopo katika katiba kuwa rais wa nchi?
 
Mimi I don’t care about CCM au chadema au ujinga wowote, jibu hizo bulletins hapo! Maana na wewe umeacha hizo bulletins umeenda kwenye vyama!
Nimetaka tu ku-acknowledge kuwa mr. Mshana siyo ccm, ila umemuweka huko kwa sababu ya hoja yake! Na hilo ni kosa letu wengi hapa jukwaani! Tupo tayari kumpinga Mtu ambaye Yupo sahihi, au kumtetea jambazi (Sabaya!) kama tu ni hoja inayohusu ‘chama chetu!’
 
Tayari nyumbu zimemgeuka mama,

Tulitahadharisha mapema humu,

Hii Chadema ni zaidi ya chama, hua nawasikitikia sana watu wa maeneo flani wanaofikili hiki chama kipo kwa ajili yao

Hii mijitu ukitizama maandiko yao tu utagundua ni mijitu ya aina gani,

Na nawahakikishieni wabongo, hiki chama kikishika nchi, hadi mfagia ikulu atakua mchaga.
 
Baada ya former DPP kupewa Ujaji na kuapishwa despite kelele zote zile zenye facts, nilipoteza matumaini kwa huyu mama. Hana ajualo zaidi ya “kuvaa ushungi tu”, kama alivyonukuliwa Bashiru.

So, bila kupoteza muda, uteuzi wa Nassari hauwezi kupingwa kokote
 
Unakurupuka Tu,wala hujui lolote,ni kweli huku hatupo na wala kule hatupo hadi CCM itoweke ndo tutatulia,

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…