Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Ninyi si ndio mlikuwa mnamsifu kwa pambio na vigelegele kuwa ameanza vizuri leo hafai tena?.Acheni uzandiki.
 
Huyu atamaliza miaka 4 bila kufanya cha maana
 
Reactions: BAK
Kwa style hii upinzani tusahau kuchukua nchi maana tunakaa kumshangilia Rais wa CCM badala ya kujenga kwetu.
πŸ˜€ πŸ˜€ Eti kuchukua nchi,nchi ipi?. Labda nchi ya machame nkuu kati ndio mkachukue ila sio mama Tanzania. Mchukue nchi kwa upinzani huu utopolo, hilo jambo ni njozi za mchana.
 
Hili ni suala pana mkuu. Kila mtu atalizungumzia kinamna yake. Chadema ndio wapo mitandaoni kupigia kelele huu uteuzi wa Nassari.

Je mtu akifeli biashara ya Mihogo ndio hafai kuajiriwa kuwa afisa Tarafa??
Lakini wao Chadema alipokuwa akifanya mambo hayo hawakumuona?? Je walimchukulia hatua gani???
 
πŸ˜€ πŸ˜€ Eti kuchukua nchi,nchi ipi?. Labda nchi ya machame nkuu kati ndio mkachukue ila sio mama Tanzania. Mchukue nchi kwa upinzani huu utopolo, hilo jambo ni njozi za mchana.
Matokeo ya Kisiasa yanataka Moyo Sana vijana wa CCM tulieni au hamieni Upinzani..... Nchi ni Yetu Sote, tupunguze kuchukiana na Kuumizana kimwili!!

Moses Machali, DC
David Kafulila, RC
Mwita Waitara, Naibu Waziri
Joshua Nassari, DC
Fakii Lulandala, DC
Julius Mtatiro, DC
Albert Msando, DC
David Silinde, Naibu Waziri,
Vincent Mashinji, DC
Mwambe, MB
Gekuli, Naibu Waziri
Juliana Shonza, MB
Patrobasi Katambi, N/W
Lijua Likali, DC
Covid 19
UVCCM mnajifunza nini toka kwa Vijana waliojengwa na CHADEMA wakaiponda CCM, Wamechukuliwa kuisaidia CCMπŸ“

Sasa endelea kusema upinzani utopolo mjinga mkubwa wewe. Laiti ingekuwa utopolo si mngechukuliwa nyie waimba mapambio na kujamba mitandaoni na kwenye mikutano ya siasa? Mbona viongozi mnakosa mnachukua ambao tumewalea na kuwakuza kisiasa sisi? Amka sio unaongea tu.
 
Ooh basi fahamu mie sio MATAGA na simuelewi kabisa huyu mama only the difference ni kwamba yeye sio katili
Kwa nini humuelewi?,hayuko hapo kusaidia upinzani,anajua kwa kuwapa kina juakali nafasi,2025 cdm wengi watavutika kwenda ccm,,siasa ni strategy,,unadhani angewaacha nani mwanachadema atatamani kwenda ccm tena?
 
Hili la uchapakazi sikatai, maana niko huku pia

Ila haibadilishi uhalisia kwamba mna ka ubinafsi, kujihisi bora kuliko wengine n. K, wakati hao mnaowaona duni wanawahifadhi huko kwao bila kuchunguza mnatoka wapi.
 
Huwezi kupata Urais bila kupitia chama cha siasa,,so lazima mazingira wezeshi yawekwe
Vyovyote iwavyo, akishapatikana anasimamia na kuapa kuwatumikia watanzania wote bila kujali vyama vyao mkuu
 
Wewe unaona uteuzi wa nassar ni sawa?
Maoni yangu doesn't matter mkuu especially baada ya kuwa mtu ameshateuliwa.

Mama ndio anajua Mheshimiwa Joshua Nassari atamsaidia vipi.

Ndio maana tunasisitiza kwamba Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.
 
We pumbavu kweli eti sabaya wamemtengenezea makosa!kwani cdm Ni Dpp?
Mkuu kumsikia tuSabaya umepanick 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Hivi DPP akiamua kumuachia kwamba hana hatia si mtakufa nyinyi duh

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
huu jamaa anaitwa relief asome hapa ishu si kumpangia raisi ishu ni je raisi kwanini anachukua aina hii ya watu kama nassari na kufanya nao kazi

mfano mimi binafsi yangu mtu akimsifu magufuli kinamna yeyote namuona hafai sababu magufuli anakuwa vipi msafi na huku alimteua sabaya kuwa mkuu wa wilaya na kuamua kufanya kazi naye
 
I have spent time reviewing your presentations and comments, you often have a point. But it would have hold much sense if it was not competitive politics.
CCM shall never, never be a constructive engagement (allie) partner to Chadema.

You are politically an enemy to CCM, your friend is an enemy to CCM, your irritant is a refreshment to CCM.

Never expect CCM to listen to you on any issue unless it gives mileage to CCM. CCM will always do things which must irritate Chadema or rather opposition.

This is competitive politics, the reverse is true. Chadema ought to do the same. Parties are not working to complementing the other but competing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…