kwa upande wao chadema walikosea kama hawaku deal naye na kwa namna moja kama walimtetea kivyovyote, tuachane na chadema sasaHili ni suala pana mkuu. Kila mtu atalizungumzia kinamna yake. Chadema ndio wapo mitandaoni kupigia kelele huu uteuzi wa Nassari.
Je mtu akifeli biashara ya Mihogo ndio hafai kuajiriwa kuwa afisa Tarafa??
Lakini wao Chadema alipokuwa akifanya mambo hayo hawakumuona?? Je walimchukulia hatua gani???
Aiseeee yaani wewe acha tu. Watanzania tubadilike hawa jamaa wa upinzani wanashangaza sanaHalafu akishaondoka aje Ndugai au???? Nyie mbwa hamna shukrani Wala haijulikani mnataka nini pumbavu zenu,ndiomaana dikteta alihamua kuwanyoosha tu ,maana alishajua mitanzania baadhi Ni mizombii
Nimecheka 'yupo yupo tu'Kuna wanaodai tumpe muda lakini kuna mengi tu ambayo angekuwa ana nia nzuri ya kuweka maslahi ya nchi mbele basi angeshayafanyia kazi au at least kutwambia Watanzania ni vipi atayashughulikia tena kwa haraka lakini yupo yupo tu na mikutano yake na makundi ya Watanzania ambayo haina tija huku akiendelea kukwepa kukutana na Wapinzani wa kweli nchini. Sioni jipya na hilo la Katiba huru na Tume mpya ya uchaguzi kupatikana kabla ya uchaguzi mkuu October 26, 2025 tusahau tu.
Ukweli ni kuwa,Nasari alisoma alama za nyakati awamu ya tano,akaona wapizani hawatoboi,japo anapenda upinzani ilibidi aji sacrifice na akinywee kikombe,akaingia deal ,ila hakutaka kuumiza feeling za wana cdm wenzake,kwani moyoni huyo kijana ni cdm,,so akaona sasa aweke mazingira ya utoro kazini,huko bungeni mpaka wao wenyewe wamfute ubunge,,badala ya kutangaza anahama cdmkwa upande wao chadema walikosea kama hawaku deal naye na kwa namna moja kama walimtetea kivyovyote, tuachane na chadema sasa
hoja ya huyu jamaa kuwa hafai na uongozi na mtumishi wa uma inaleta mashiko kwa lile alilolifanya
ulitaka JOKATE asiteuliwe Tena kwanini? Na uyo Albet Msando kwani ana Tatizo gani? Acheni chuki zenu,wote Watanzania haoNimecheka 'yupo yupo tu'
Shida anasikiliza kila mtu
Anafurahisha na kulipa fadhila
Remote ya naniliuuu inaliangamiza Taifa
Mstaafu anamkoroga left right n center
Watu wameandika wamesema kuhusu akina bi kisarawe alberto nk lakini anawateua kama si dharau ni nini
Katiba Mpya ni jibu
Ninapayuka tena na tena: KATIBA MPYA itapunguza uhayawani huu!!!!Narudia tena sina imani na huyo Maza. Naona anakurupuka tu na teuzi zake. Sijui hata kama anauliza maswali ya kina kwa hao wanaofanya vetting. Na hao wanaofanya vetting ni watu makini kweli wanaoweka mbele maslahi ya Nchi au WANADEMKA tu ili siku iingie? Kuna OMBWE kubwa sana la uongozi nchini.
Aiseeee yaani wewe acha tu. Watanzania tubadilike hawa jamaa wa upinzani wanashangaza sanaHalafu akishaondoka aje Ndugai au???? Nyie mbwa hamna shukrani Wala haijulikani mnataka nini pumbavu zenu,ndiomaana dikteta alihamua kuwanyoosha tu ,maana alishajua mitanzania baadhi Ni mizombii
Okey ndugu MADE man, tunakubaliana sasa kwenye paragraph yako ya kwanza.kwa upande wao chadema walikosea kama hawaku deal naye na kwa namna moja kama walimtetea kivyovyote, tuachane na chadema sasa
hoja ya huyu jamaa kuwa hafai na uongozi na mtumishi wa uma inaleta mashiko kwa lile alilolifanya
Subiri Mdude atolewe hawa wote ndio watamuona Mama anafaa. Wabinafsi sana hawa jamaa.Dah....mpeni muda Mama...mwacheni afanye kazi ,[emoji2960]
Nimetaka tu ku-acknowledge kuwa mr. Mshana siyo ccm, ila umemuweka huko kwa sababu ya hoja yake! Na hilo ni kosa letu wengi hapa jukwaani! Tupo tayari kumpinga Mtu ambaye Yupo sahihi, au kumtetea jambazi (Sabaya!) kama tu ni hoja inayohusu βchama chetu!β
Nimecheka 'yupo yupo tu'
Shida anasikiliza kila mtu
Anafurahisha na kulipa fadhila
Remote ya naniliuuu inaliangamiza Taifa
Mstaafu anamkoroga left right n center
Watu wameandika wamesema kuhusu akina bi kisarawe alberto nk lakini anawateua kama si dharau ni nini
Katiba Mpya ni jibu
Wanadai eti alionekana akipapasa naniliu ya gigy money..kinyume na maadili ya uongozi..ulitaka JOKATE asiteuliwe Tena kwanini? Na uyo Albet Msando kwani ana Tatizo gani? Acheni chuki zenu,wote Watanzania hao
bado mkuu elungata hujanipa mwongozo kwahiyo wewe ungepata nafasi ya kuteua, ungemteua na kufanya naye kazi anafaa?Ukweli ni kuwa,Nasari alisoma alama za nyakati awamu ya tano,akaona wapizani hawatoboi,japo anapenda upinzani ilibidi aji sacrifice na akinywee kikombe,akaingia deal ,ila hakutaka kuumiza feeling za wana cdm wenzake,kwani moyoni huyo kijana ni cdm,,so akaona sasa aweke mazingira ya utoro kazini,huko bungeni mpaka wao wenyewe wamfute ubunge,,badala ya kutangaza anahama cdm
Alikua na nia hiyo,,maneno yakaanza kuwa mengi,mara,,ooh sie hatujipendekezi,mara. ..Never again,,maneno mengi sana,,,,bado anatafakari na Ataonana na wapinzani,,kiongozi mwenye hikima hawezi kukataa kuongea na upinzani...Yupo yupo tu ANADEMKA DEMKA kukutana na magroup ya Watanzania yasiyoweza kutwambia ukweli halisi. Wazee wa Dar, UWT, UVCCM lakini ikija kukutana na Wapinzani wa kweli Chadema analala kona. ππππ
yaani Albert msando ana video clip iliwahi kusambaa akimchezea uch ** mdada flani hivi wakiwa kwenye gariulitaka JOKATE asiteuliwe Tena kwanini? Na uyo Albet Msando kwani ana Tatizo gani? Acheni chuki zenu,wote Watanzania hao
Kweny suala la uchi hakuna mwanaume ambae yupo salama, sisi wanaume linapokuja suala la "K' hakuna usheikh Wala uchungaji,yaani Albert msando ana video clip iliwahi kusambaa akimchezea uch ** mdada flani hivi wakiwa kwenye gari
wewe bado unaona anafaa kwenye utumishi wa uma na hapo ana mke wake na Familia
Rais alisema hatoangalia chama lengo likiwa ni kujenga umoja wa kitaifa.Wewe unaona uteuzi wa nassar ni sawa?
Trump alijisifu kumchezea uch* dada mmoja tena akarekodiwa na bado akapigiwa kura na wamarekani na akawa Rais wao kwa miaka minne.yaani Albert msando ana video clip iliwahi kusambaa akimchezea uch ** mdada flani hivi wakiwa kwenye gari
wewe bado unaona anafaa kwenye utumishi wa uma na hapo ana mke wake na Familia
Mkuu Nyakubonga, nakuambia ukweli, mimi ni muamiaji kwa Wachaga, kutoka mkoa jirani tu! Kwetu kuna hisia hizo, na dhana kwamba Wachaga ni wezi, nk!Hili la uchapakazi sikatai, maana niko huku pia
Ila haibadilishi uhalisia kwamba mna ka ubinafsi, kujihisi bora kuliko wengine n. K, wakati hao mnaowaona duni wanawahifadhi huko kwao bila kuchunguza mnatoka wapi.