kwa upande wao chadema walikosea kama hawaku deal naye na kwa namna moja kama walimtetea kivyovyote, tuachane na chadema sasaHili ni suala pana mkuu. Kila mtu atalizungumzia kinamna yake. Chadema ndio wapo mitandaoni kupigia kelele huu uteuzi wa Nassari.
Je mtu akifeli biashara ya Mihogo ndio hafai kuajiriwa kuwa afisa Tarafa??
Lakini wao Chadema alipokuwa akifanya mambo hayo hawakumuona?? Je walimchukulia hatua gani???
hoja ya huyu jamaa kuwa hafai na uongozi na mtumishi wa uma inaleta mashiko kwa lile alilolifanya